Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Lawama kwa Simba, kwa kushindwa kuifunga Ruvu, wasingekosesha mashabiki mwana na maji ya moto....
 
Pole kwa Ivuga,Invisible na wanamsimbazi wote kwa kupokwa tonge mdomoni

Yanga daima mbeleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
basi wacha niende jukwaa la siasa maana nasikia badala ya kuvua gamba jk amengeza gamba...........mukama ndo katibu mkuu wa ccm.......maskini simba
 
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeee!!! Yanga Bingwa......

Man U pia itachukua 3! 3 bila za J Nature!!

Gogogogogogogogogo YANGA
 
Naona Ivuga kaamua kutokomea kabisa.............Kaingia mitini............lol
 
Okwi Okwi Okwi.........................Namuonea huruma sana Okwi............lazima abebeshwe zigo la lawama kwa kukosa penati
 
Poleni fans of simba,naona intelijensi yenu imeshndwa kufanya kazi...Yanga oyeee!
 
Okwi Okwi Okwi.........................Namuonea huruma sana Okwi............lazima abebeshwe zigo la lawama kwa kukosa penati

wenzetu hawakubali kuwa hawawezi, lazima watafute pa kutokea.

Punde watafunga safari kwenda Semunge, lol.
 
wenzetu hawakubali kuwa hawawezi, lazima watafute pa kutokea.

Punde watafunga safari kwenda Semunge, lol.

Walijihakikishia asilimia 100 wao ni mabingwa mwaka huu wakaanza kuleta maneno ya kejeli kwetu.........Thank God we found Sam Timbe
 
Back
Top Bottom