Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
dakika ya 90 simba wamelowa 2-0 safi sana maana kelele zingezidi mtaani
 
Rage yupo atatia tena fitna. kwa kweli hakuna kitu chochote tulichocheza pale ni kuzuiz tu na kukimbia kimbia
 
Simba kapigwa goli la 3 dakika zimesalia kama 2 tu,aibu kweli!
 
Hawa jamaa utadhani walikuwa wameprogram wataanza kufunga dakika za mwisho.
 
Kitu finito simba KAPAKATWA tena jamani. Baba RAGE leta fitna upyaaaaaaaa TUSONGE MBELE!!!
 
Back
Top Bottom