Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 442
Mkuu umasiki wa mashabiki wa yanga ni upi?yanga washabiki wao wote ni maskini.
DATA zilizopo mpaka mechi ya leo yanga ndo wameingiza mapato makubwa sasa wanaokwenda uwanjani ndo masikini au,?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umasiki wa mashabiki wa yanga ni upi?yanga washabiki wao wote ni maskini.
Jaman naomba mnisaidie hivi kwanin yanga wanapochorwa kweny cartoon wanachora ndala? Je nin link kat ya ndala na yanga? Anayejua please anisaidie.
Jaman naomba mnisaidie hivi kwanin yanga wanapochorwa kweny cartoon wanachora ndala? Je nin link kat ya ndala na yanga? Anayejua please anisaidie.
well said g.tajirikama kumbukumbu hainitupi, kuna mwaka yanga ilipata mgogoro uliopelekea
kutokea makundi mawili ndani ya klabu, moja lilijulikana kama yanga -kandambili na
kundi ka pili yanga- raiszoni (raise-on ililikuwa design ya viatu vyenye soli ndefu kwa kwenda juu).
hata hiyo kundi la yanga-kandambili liliibuka kidedea (ndio maana wakati mwingine inaitwa yaanga-kandambili)
well said g.tajiri
na pont ya pili ni kwa sababu hawa jamaa mara nyingi tuawakanyaga kama kandambili sema leo refa alitunyima penalt ya wazi kabisa
Ni kwa sababu yanga ikicheza mashabiki wote wa Simba na yanga wanakwenda uwanjani,Simba inapocheza mashabiki wa yanga wengi hubaki nyumbani sababu ya asili yao kuwa wao hawana interest na mechi za Simba, na wale wachache wanaokuja uwanjani ni wale ambao wamejengwa na imani kuwa Simba lazima itafungwa hiyo wanakuja kuzomea.Mkuu umasiki wa mashabiki wa yanga ni upi?
DATA zilizopo mpaka mechi ya leo yanga ndo wameingiza mapato makubwa sasa wanaokwenda uwanjani ndo masikini au,?
Upo sahihi sana mkuuNi kwa sababu yanga ikicheza mashabiki wote wa Simba na yanga wanakwenda uwanjani,Simba inapocheza mashabiki wa yanga wengi hubaki nyumbani sababu ya asili yao kuwa wao hawana interest na mechi za Simba, na wale wachache wanaokuja uwanjani ni wale ambao wamejengwa na imani kuwa Simba lazima itafungwa hiyo wanakuja kuzomea.
<br />huyo bwana mdogo ni noma angalieni asije akawakalisha na kuwapachika mimba ya mapacha!