Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
*Yanga ni utamaduni wa Mtanzania,ni hazina ya urithi wetu na hifadhi ya mapokeo,ni Tunu ya Wananchi na alama ya Uhuru wetu. Ewe Mwanajangwani usikose jpili 9/12/2018 kusherekea siku ya Uhuru kwa kuwatizama mabingwa mara nyingi Tanzania Yanga wakichuana na Biashara toka Musoma alikozaliwa Mpigania Uhuru Baba wa Taifa letu na Shabiki Nguli wa Yanga Hayati Mwl Nyerere*

*Tusherekee Uhuru wetu kwa kuitizama Tunu ya Taifa Letu Yanga...Usikose ewe Mwanachi*

Daima mbele nyuma mwiko
All time champions of Tz
 
Wakanywe MO itawatuliza presha manake Bondeni maji kujaa wanatapa tapa sana
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Siti ya mbele

Kuna timu 4 zinazocheza soka la burudani, kuvutia Sana!
1. Barcelona
2. Chelsea
3. Arsenal
4. ......malizia mwenyewe unaijuaaa! Kiungo wake anaitwa "Mwamba wa Lusaka"
acha kufananisha mnyama na uchafu kama chelishit
 
Back
Top Bottom