Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Mungu ibariki ssc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi ZanzibarVyura roho zinawauma sana.Wanashangaa hawa waarabu wanavyowatesa halafu wakija hapa kwa Simba lainii urojo.
This is SIMBA.
Ni kweli kabisa mtalaam ile RED card ilikuwa kuwabeba waarabu na ile penalt yaani ndio upendeleo maana kipa alibana mikono yake hakumgusa mshambuliaji lkn ndio ishakuwa ngoja sie Simba Sc tuende pale Egypt tukajaribu kuleta fujo zetu kama tulizo wafanyia Al Masry na wale wapuuzi wengine sijui ismailiaTunawafata wakongo ila habari za waarabu wa misri tunazo
Wanabebwa sana hawa jamaa
View attachment 993210View attachment 993211
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutawamudu hawa, cha msingi tumewaelewa wapinzani wetu ni watu wa aina gani mkuu.Ni kweli kabisa mtalaam ile RED card ilikuwa kuwabeba waarabu na ile penalt yaani ndio upendeleo maana kipa alibana mikono yake hakumgusa mshambuliaji lkn ndio ishakuwa ngoja sie Simba Sc tuende pale Egypt tukajaribu kuleta fujo zetu kama tulizo wafanyia Al Masry na wale wapuuzi wengine sijui ismailia
Waarabu kuwaweza ni ubabe tu kuanzia nje mpaka ndani umewamaliza.Nkana walitaka kufanya ubabe walinywea wenyewe.Tutawamudu hawa, cha msingi tumewaelewa wapinzani wetu ni watu wa aina gani mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkana mafala tu wale walitaka kujifanya wajanja ktk nchi ya wajanjaWaarabu kuwaweza ni ubabe tu kuanzia nje mpaka ndani umewamaliza.Nkana walitaka kufanya ubabe walinywea wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchambuzi murua kabisaTuzungumzie mechi ijayo na AS Vita ya Kongo.
Nawashauri wachezaji wa Simba waende wakacheze mpira na sio kulinda goli kama walivyofanya z
Zambia kwa Nkana.
Ukilinda goli ni lazima kwa mpira wa sasa hivi, unaruhusu adui achezee mpira na akushambulie kila dakika.
Okwi Kagere na Boko wakibaki kule mbele Vita hawatapanda wote watabaki nyuma kuwalinda ili wasiwadhuru.
Vita itacheza mpira wa pasi ndefu, mbio na kasi kwani watakuwa na uchu wa kupata goli la mapema na haraka ili kujihakikishia ushindi.
Simba itawapasa kuchangamka hasa mabeki na viungo ili kudhibiti kasi ya Vita.
Kwa ujumla mpira huo hautahitaji kuzubaa au kutembea uwanjani bali ni mchakamchaka mwanzo mwisho, fanyeni mazoezi ya kuongeza pumzi na kukimbia dakika zote 90.
Mpira utakuwa wa pasi ndefu na wa kasi.
Juuko kama atacheza acheze mpira na sio miguu ya wapinzani wake, pia aongeze kasi, kucheza rafu ni kuzidiwa pumzi na kuchoka, afanye mazoezi ya stamina.
Shabalala asikabie macho, winga wao ana kasi ana na anapiga kross kali golini.
Gyan asijisahau anapopanda mbele arudi haraka kulinda lango na afanya mazoezi ya kuongeza nguvu na kasi.
Mchezo wa Simba na Vita unasubiriwa kwa hamu na wapenzi wa soka wa dunia nzima kwa sasa, maana wanategemea mchezo murua na wenye upinzani mkubwa kuliko mipambano mingine.
Ni jukumu la wachezaji wa Simba kucheza kwa kujituma zaidi ili kujitangaza kimataifa na kuleta matokeo mazuri ktk timu yao ya Simba.
Kwako Mwalimu Kashasha.
Sent using Jamii Forums mobile app