Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Simba team god be with you.go ahead and net 3 goals
 
Mpira bado ni bila bila...........dak ya 21...........jamaa wa algeria wanacheza defensive game....hawashambulii sana wanawasoma simba ili waje wawatungue
 
Simba wazidishe mashambulizi wasikubali kufuata wanavyocheza hao waarabu
 
Kwa ajili ya kumbukumbu, kikosi cha Simba kilichoanza ni, Juma Kaseja, Shomari Kapombe, Amir Maftah, Kelvin Yondani, Juma Nyoso, Patrick Mafisango, Salum Machaku, Mwinyi Kazimoto, Felix Sunzu, Haruna Moshi na Emmanuel Okwi.
 
Back
Top Bottom