Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Leo asubuhi tumecheza mchezo wa kurafiki dhidi ya African Lyon na kuibuka na ushindi wa mabao 5-0.

⚽️ Ibrahim Ajibu 25’, 30’
⚽️ Tairone Santos 28’
⚽️ Mzamiru Yassin 32’
⚽️ Deo Kanda 87’ #NguvuMoja

https://t.co/TaQrO8q9mW
 
_USHABIKI SIYO UADUI_ ,
_TAFADHALI WANA SIMBA BAADA YA KUCHUKUA UBINGWA TUTAOMBA MTUPE MAJUMUISHO YA GHARAMA ZOTE MLIZOTUMIA KWA MAREFA WALIOCHEZESHA MECHI ZENU ILI TUJUE KAMA NI AFFORDABLE.

PIA KAMA HAMTOJALI TUTAOMBA MTUAMBIE URAHISI NA CHANGAMOTO MLIZOKUTANA NAZO KWENYE HUO MCHAKATO WOTE HADI MNAFANIKIWA KUBEBA UBINGWA, KUANZIA KWENYE KUONANA NA MWAMUZI MPAKA PROCESS YA KUFANYA MUAMALA.

*TUNATANGULIZA SHUKRANI, MUNGU **AWABARIKI* !!*_ [emoji120][emoji120]_
 
FB_IMG_1593343688017.jpg
 
Timu ya @SimbaSCTanzania imefanikiwa kutetea taji lake la ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa bado na mechi sita mkononi baada ya kutoka suluhu na Tanzania Prisons kwenye mchezo wa leo na kufikisha pointi 79 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote kwenye msimamo wa ligi.
 
Back
Top Bottom