Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amejiuzulu
Hilo nalo neno asee
Hakuna timu Tz inayoweza kulipa mshahara Wa mil.25 acheni kudanganyanaCopy and paste kutoka chanzo kisichokuwa rasmi...
Taarifa fupi ya Sven iko hiviii
.
.
Sven na Simba waliingia mkataba wa kufanya kazi Kwa makubaliano maalum.
Kulikua na kipengele kwenye Mkataba wake kuwa akiivusha team kwenye group stage CL basi ataongezwa mshahara na marupurupu.
Sven aliona ametengeneza CV yake Kwa Simba alivyotaka, kumbuka Kwa ngazi ya vilabu Sven alikua junior Sana...so Kwa Alichokipata Simba kimempaisha Sana.
Sasa juzi baada tu ya game alimwandikia MO email akiomba kuonana nae Jana, Mo akamtaka akutane na CO Yule mdada Kwanza...
Waliongea na Badraaa wee mwisho ikabidi Mo aingilie Kati, Sven alidemand 100% ya kila kitu alichokua anakipata Simba ....
Mfano
1. Nyumba 2M sasa iwe 4 M
2. Gari analipiwa 500K iwe 1M
5. Mshahara 16M sasa iwe 32M
Simba Kwa level zetu hatuna uwezo wa kumlipa Kocha wa aina hiyo.
Mo alikua tayari kumpa mshahara wa 25 M na usafiri WA kawaida na Makazi yabakie vilevile.
Akagoma..
of course hamna timu yenye kiburi hicho wala mapato hawanaHakuna timu Tz inayoweza kulipa mshahara Wa mil.25 acheni kudanganyana
Titajifunza tu makundi yameshapangwa .Wacha Tusubiri kujifunza zaidi kwa SimbaYes!!, Hii ndo Simba....
Manyani wana mengi ya kujifunza kwa Simba hii.....
wasione aibu....Chama, Konde boy na Bwalya....watatoa semina kwa manyani
Inshalla.
Simba wamewarudisha chipukizi kwao pembaSimba teyari huko Zanzibar tumeshakiwasha
Dakika ya 85 Simba 3:1 Chipukizi
Mapema tuSimba wamewarudisha chipukizi kwao pemba
Hakuna ubishiNa awamu hii haingizwi mtu tukutane league ya mabingwa next season hii imeisha naona,hapa al ahly,As vita,na er merreck lazima simba aambue kuingia makundi tu.
Unaendakutobolewa matundu hatar,na uchawi mlimalizia kwa platinumz sasa kaz mnayo
That is Simba manyaunyau FCThis is Simbaaàas
Kachukueni na nyie hizo nyau mshindeThat is Simba manyaunyau FC