Simba kwani yako? ma.ku weweAnzisha timu yako umsajili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba kwani yako? ma.ku weweAnzisha timu yako umsajili
Siyo ya kwanguSimba kwani yako? ma.ku wewe
kama unayajua hayo, tuliza papa.Siyo ya kwangu
Kwani we ya kwako ?
Kwani nimekuzuia kutoa maoni yako ?kama unayajua hayo, tuliza papa.
kila mtu anayo haki ya kutoa mawazo yake
Simba na Yanga hakn ata mmj aliefanya la maan ndan ya miaka yote io, timu ata viwanja havina, mmj atakwambia kaishia sijui robo fainal club bingw mwingne sijui bingwa wa kihistoria upuuz mtupu [emoji23]Uwezo mdogo wapo Makundi?
wewe uko wapi ambae ni bora?.. kwenye miaka 10 ulifanya nini na Simba miaka 5 amefanya nini?
Kwani timu zipo ili zijenge uwanja au zipo kwajili ya kushiriki mashindano ?Simba na Yanga hakn ata mmj aliefanya la maan ndan ya miaka yote io, timu ata viwanja havina, mmj atakwambia kaishia sijui robo fainal club bingw mwingne sijui bingwa wa kihistoria upuuz mtupu [emoji23]
Kwa ajili ya vyote na ziwe na academy zao na ata ikibidi private jet pia [emoji23], Yan kwa kifupi wote wawili wawe ki international.Kwani timu zipo ili zijenge uwanja au zipo kwajili ya kushiriki mashindano ?
Nadhani utakuwa hujui kwamba Inter Milan na AC Milan hazina viwanja vyao, ila vimeshachukua hadi UEFA Champions League, AC Milan mara saba na Inter mara tatuKwa ajili ya vyote na ziwe na academy zao na ata ikibidi private jet pia [emoji23], Yan kwa kifupi wote wawili wawe ki international.
achana na huyo mwanafunzi wa form two BNadhani utakuwa hujui kwamba Inter Milan na AC Milan hazina viwanja vyao, ila vimeshachukua hadi UEFA Champions League, ACMilan mara saba na Inter mara tatu
Haya na ayo makombe yaliyochukuliw na ao Simba na Yanga Ni yapi?Nadhani utakuwa hujui kwamba Inter Milan na AC Milan hazina viwanja vyao, ila vimeshachukua hadi UEFA Champions League, AC Milan mara saba na Inter mara tatu
Hawajachukua vikombe kwa kuwa hawana viwanja vyao kama walivyo AC na Inter MilanHaya na ayo makombe yaliyochukuliw na ao Simba na Yanga Ni yapi?
Endelea kupiga domoKikosi cha pili kimejitahidi sana. Wanaume wenyewe walikuwa bench wakiwaangalia wadogo zao wakikipiga na Nyani FC kwenye kombe la mbuzi wa Mapinduzi. Kikosi kipana kinajiweka sawa sasa kwenda kupambana na mabingwa wenzao kwenye kombe la mabingwa
Short on target 0, hizo tano ni za ndotoni labda.Yanga tutawapiga tano tena