Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Uwezo mdogo wapo Makundi?

wewe uko wapi ambae ni bora?.. kwenye miaka 10 ulifanya nini na Simba miaka 5 amefanya nini?
Simba na Yanga hakn ata mmj aliefanya la maan ndan ya miaka yote io, timu ata viwanja havina, mmj atakwambia kaishia sijui robo fainal club bingw mwingne sijui bingwa wa kihistoria upuuz mtupu [emoji23]
 
Kwani timu zipo ili zijenge uwanja au zipo kwajili ya kushiriki mashindano ?
 
Kwa ajili ya vyote na ziwe na academy zao na ata ikibidi private jet pia [emoji23], Yan kwa kifupi wote wawili wawe ki international.
 
Nadhani utakuwa hujui kwamba Inter Milan na AC Milan hazina viwanja vyao, ila vimeshachukua hadi UEFA Champions League, AC Milan mara saba na Inter mara tatu
 
Haya na ayo makombe yaliyochukuliw na ao Simba na Yanga Ni yapi?
 
Kikosi cha pili kimejitahidi sana. Wanaume wenyewe walikuwa bench wakiwaangalia wadogo zao wakikipiga na Nyani FC kwenye kombe la mbuzi wa Mapinduzi. Kikosi kipana kinajiweka sawa sasa kwenda kupambana na mabingwa wenzao kwenye kombe la mabingwa
 
IMG-20210113-WA0003.jpg
 
Endelea kupiga domo
 
Back
Top Bottom