The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Hii Yanga ni hatari sana, huu mpira inaocheza haujawahi kutokea Afrika mashariki na kati.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
4G[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vipi ngapi ngapi?
Unajisikiaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo mnapapaswa
Vipi hali yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo mnapigwa 9View attachment 2040280
Alafu Yanga tutasema inacheza soka la wapi?[emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hili Soka la Simba sio la nchi hii
Fast and Furious
Hili litakuwa la sayari nyingine!Alafu Yanga tutasema inacheza soka la wapi?[emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2064575
Huwa najiuliza pale Simba ni mchezaji gani anaweza kupata namba Yanga sioni kabisa.Ajib ni mchezaji mzuri ila alikuwa kwenye timu mbovu!
Happy New Kolo.
Wachezaji wa Simba viwango vyao ni vikubwa sana kucheza Yanga haiwezekani.Huwa najiuliza pale Simba ni mchezaji gani anaweza kupata namba Yanga sioni kabisa.
Nitajie mchezaji yeyote wa Simba unayehisi anaweza pata namba pale Yanga alafu tumlingashe na mwenye namba yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wachezaji wa Simba viwango vyao ni vikubwa sana kucheza Yanga haiwezekani.
Ni sawa na Lewandoski aende kucheza Blackpool
Mnatumia nguvu nyingi kujifananisha na Simba[emoji28]Nitajie mchezaji yeyote wa Simba unayehisi anaweza pata namba pale Yanga alafu tumlingashe na mwenye namba yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna hata mmoja, mnaendelea hapo champions league Zanzibar , kundi lenu malindi si mchezo, kundi la kifoNitajie mchezaji yeyote wa Simba unayehisi anaweza pata namba pale Yanga alafu tumlingashe na mwenye namba yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwenye kikosi chenu mna wachezaji wawili tu ambao wanaweza kupata nafasi kwenye kikosi cha Simba nao ni Khalid Aucho na Faisal as a substituteNitajie mchezaji yeyote wa Simba unayehisi anaweza pata namba pale Yanga alafu tumlingashe na mwenye namba yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kule ni wamoja hala huku ni wapinzaniKwenye kikosi chenu mna wachezaji wawili tu ambao wanaweza kupata nafasi kwenye kikosi cha Simba nao ni Khalid Aucho na Faisal as a substitute
Tuanze ss, hebu niambie Manula atamweka benchi Diara? Jibu hapo alafu twende number zinazofuata, yn aibu kulinganisha wachezaji wa Simba na Yanga kwa ss[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwenye kikosi chenu mna wachezaji wawili tu ambao wanaweza kupata nafasi kwenye kikosi cha Simba nao ni Khalid Aucho na Faisal as a substitute
Yes Manula atamuweka benchi Diarra bila shida yoyote.Tuanze ss, hebu niambie Manula atamweka benchi Diara? Jibu hapo alafu twende number zinazofuata, yn aibu kulinganisha wachezaji wa Simba na Yanga kwa ss[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]