Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Aisee Kocha wetu yamemkuta mabaya!

IMG-20221115-WA0017.jpg
 
Kwani wewe hautakufa??
Nitakufa na nitakua accounttable kwa ambayo nimeyafanya duniani na kuongea, na kwako pia ila naona kama wewe unayoyasema hapa na kutukana unaona kama vile hautakufa au ukifa ndio basi, nikueleze utaenda kua accountable na unachofanya na kuongea huku duniani.
 
Sawa kabisa, madawa ya kulevya yanaharibu kizazi cha vijana wa taifa hili, huku wengine wakifaidka kua matajiri, siliangalii hili kama ushabiki wa kipumbavu wa yanga na simba, naliangalia hili kama jambo ambalo linaumiza jamii tunayoishi, sasa kama wewe umelichukulia kishabiki , siku ukifa hiki ndio utaenda kujitetea huko.
 
Ujihusie na wewe ndugu au mwenzetu utaishi milele na milele

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakufa na nitakua accounttable kwa ambayo nimeyafanya duniani na kuongea, na kwako pia ila naona kama wewe unayoyasema hapa na kutukana na kukebehi watu kwamba ni wauza unga unaona kama vile ni jambo fulan la furaha sana, hautakufa au ukifa ndio basi, nikueleze utaenda kua accountable na unachofanya na kuongea huku duniani.
 
Kwani wewe hautakufa??
Nitakufa na nitakua accounttable kwa ambayo nimeyafanya duniani na kuongea, na kwako pia ila naona kama wewe unayoyasema hapa na kutukana ovyo na kukebehi watu unaona kama vile hautakufa au ukifa ndio basi, nikueleze utaenda kua accountable na unachofanya na kuongea huku duniani.
 
Back
Top Bottom