Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Wakuu hii Yanga ni kubwa sana.
IMG-20230103-WA0005.jpg
 
Tuzo ya page za udaku kama oscar oscar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utopolo hawana akili,sasa hiyo tuzo ni ya shirikisho la soka la congo???
Mchezaji hata timu ya taifa haitwi hata kwa bahati mbaya,hata wachezaji wa akiba then apewe tuzo ya nchi ...
Utopolooooooooooooooooooooo
 
Tuzo ya page za udaku kama oscar oscar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utopolo hawana akili,sasa hiyo tuzo ni ya shirikisho la soka la congo???
Mchezaji hata timu ya taifa haitwi hata kwa bahati mbaya,hata wachezaji wa akiba then apewe tuzo ya nchi ...
Utopolooooooooooooooooooooo
Kama umeumia waambie wabadilishe wampe Inonga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usajili usajili usajili.
Tuwe siriaz katika hili.
Tupo serious.


Anaandika TOM CRUZ
[emoji599] Hatua kubwa [emoji119]

Hakika vilabu vyetu Tanzania vimepiga hatua kubwa.. Zamani ilikuwa nadra kuona timu kutoka Tanzania inashindana na GIANT kama Tp Mazembe [emoji1078] kumuwania mchezaji na kufanikiwa kushinda vita.

Yanga inamshinda Tp Mazembe [emoji1078], Yanga inampata top score wa ligi kuu ya Zambia [emoji1268]

UNBELIEVABLE [emoji119]

[emoji419] Viongozi wa Tp Mazembe walipanda ndege hadi Zambia kumfata Kennedy Musonda, wakaweka ofa mezani ofa yao haikufikia ile Ya Yanga ...

... Hatimaye Engineer ameshinda vita,, Kennedy Musonda ni Mwananchi [emoji617]

[emoji153] 17 - Games this season [emoji1268]
[emoji460] 11 - Goals

Kennedy Musonda (28) amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya Yanga huku kukiwa na kipengele cha kuongeza miaka miwili mingine.. Atalipwa mshahara wa Tsh 11 Milioni kwa mwezi.

NB ; Mayele + Musonda = [emoji95]
 
Welcome to Dubai Habit, Nasikia Mnyama kamfunga mtu bao tisa Dubai huko
 
Back
Top Bottom