Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Yanga yamuajiri mchambuzi wa mechi kutoka Tunisia. Haya ni mageuzi makubwa ya soka la kisasa Tanzania. Tupo serious na makombe makubwa Africa na inshallah Yanga lazima iwe klabu ya kwanza hapa Tz kuchukua kombe kubwa Afrika.
tapatalk_-596541661_647x702.jpg
 
JE, WAJUA? Kwa ushindi wa magoli 7-0 dhidi ya #Horoya, #Simba imekuwa timu ya pili kutoa kipigo kikubwa zaidi katika historia ya Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Vipigo vitano vikubwa zaidi katika hatua hiyo ni #TPMazembe 8-0 #ClubAfricain (2019), Simba 7-0 Horoya (2023), #ASECMimosas 7-1 #CRBelouizdad (2001), #RajaCasablanca 6-0 #Yanga (1998) na #Enyimba 6-0 #BigBullets (2004)
 
Kuna timu ya hapa Bongo imetinga robo fainali kwa kishindo lakini mashabiki wake hawana furaha!

Watapigwa kama ngoma robo fainali!
 
Back
Top Bottom