MURTAZA MANGUNGU NI YUDA NDANI YA SIMBA.
Nilishawahi kuandika makala nyingi sana Mwaka jana kuhusu Huyu msaliti wakati wanaendesha vita na Try Again kumuondoa Babra Gonzalez madarakan
Murtaza mekuja kaharibu Simba na dhumun lake linaenda kutimia Kama hata Ondoka Haraka Sana madarakan
Murtaza Mangungu Ndiye umeuza Mechi jana.Bila Wewe Sisi Tusingefungwa.
Wanasimba wapo wasiojua nini ambacho huwa kinaendelea ndani ya Uongozi wa Simba.
Sasa Chukua hii 👇
Maandalizi ya Derby halikuwa yamekamilika 100% lakini Murtaza Mangungu kaja Kutibua mipango yote
Derby haichezwi kwa Quality ya wachezaji ,Derby inachezwa Inje ya Uwanja kwa kamati za ufundi.
Simba waliandaa wataalam 19 kuicheza Mechi hii, Walipoenda Clubuni Murtuza Mangungu aliwagomea akaawaambia kuwa waache kuicheza Hiyo Mechi yeye anawatu wake amewatoa Inje watamaliza Mechi.
Wataalam wakajiweka Pembeni wakamuachia Mgeni afanye Kazi
Kilichotokea Ni sisi kufungwa Goli 5
Yaani Murtaza Mangungu anafanya maamuzi yake mwenyewe bila kushirikisha watu muhimu ndani ya Club,
Hassan Dalali,Mwina Kaduguda,Aveva Mkwabi wakina Magori wapo lakin Murtaza Mangungu kajiona yeye Ni Mungu mtu ndani ya Simba anafanya mambo bila kushirikisha uongozi wa Zamani hata kushauriwa hataki 😢
Murtaza Mangungu kawaumiza Maelf ya Wanasimba. Yeye ndiye alimua kuicheza Mech hii bila kushirikisha Matawi ya SIMBA..
Wenzetu Hii Derby matawi yao Inchi Nzima walifanya kuwa Derby Yakitaifa.Matawi Yote yameshiriki kwa 100%
Haikutosha Murtaza Mangungu Kuna Fungu kachukua upande wa Pili.
Account za CRDB Za Murtaza Mangungu zichunguzwe Kama hamjakuta pesa iliyoingizwa jana, na Hiyo account ichunguzwe Ni ya Nani nishabiki wa Timu Gani, na alimtumia Mangungu Kama nan?
Murtaza Mangungu Ni Yuda ² ndani ya Simba.
Amekuja kuimaliza Simba anatumika yeye pamoja na Watu wake waliompitisha kwa kura za Mchongo na ndiyo kawateua kawapa ujumbe ndani ya Club Sasa hivi ndiyo wanaihujumu Club.
Kama Hatatolewa haraka sana wanasimba huyu Mangungu atawachia Simba ukiwa Imechaa sana
Watu wametumia Nguvu kubwa sana kutoa Taarifa nyeti za upande wa Pili ili kuhakikisha tunafanikisha lakini Murtaza Mangungu ndiyo kawaangusha wanasimba.
MURTAZA MANGUNGU NI YUDA ESKARIOTI KAIDALALIA SIMBA.
SO SAD 😭😭😭😭