Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
IMG_7222.png

Baada ya kipigo kitakatifu cha goli 5 walicho kipata Simba ya Msimbazi, kilabu hicho kimetoa taarifa rasmi ya kumbalasa Kocha wao…
 
4dfc7dcc-0c37-4206-ac24-7d236d03179a.jpeg

Wachezaji watano wa Simba Sc akiwemo Henock Inonga, Cloutos Chama, na Shomary Kapombe wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi dhidi yao baada ya kufungwa na Yanga SC mabao 5-1 siku ya jumapili

Wachezaji hao wanatuhumiwa kuihujumu timu kitendo kilichopelekea kupoteza kwa idadi kubwa ya mabao

Maamuzi hayo yamefanyika katika kikao cha bodi ya wakurugenzi ya Simba kilichofanyika jana jijini Daresalam

Chanzo cha uhakika kutoka Simba SC kimeiambia kishamba Media kuwa uongozi umeshapata ushahidi wa awali kuhusu tuhuma dhidi ya wachezaji hao na sasa imeanza uchunguzi wa kina ili kujiridhisha

Wachezaji hao watakua nje ya kambi ya timu mpaka hapo maamuzi mengine yatakapofanyika

Chanzo hicho kimesema huwenda leo klabu ya Simba ikatoa taarifa ya wazi kwa Umma juu ya maamuzi waliyofikia kuhusu wachezaji hao wau wasitoe ila wahusika wamepewa taarifa

Maamuzi mengine yaliyofikiwa na bodi ni kufutwa kazi kwa kocha mkuu Robertinho, msaidizi wake pamoja na kocha wa viungo.

😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣🤣
 
MURTAZA MANGUNGU NI YUDA NDANI YA SIMBA.

Nilishawahi kuandika makala nyingi sana Mwaka jana kuhusu Huyu msaliti wakati wanaendesha vita na Try Again kumuondoa Babra Gonzalez madarakan

Murtaza mekuja kaharibu Simba na dhumun lake linaenda kutimia Kama hata Ondoka Haraka Sana madarakan

Murtaza Mangungu Ndiye umeuza Mechi jana.Bila Wewe Sisi Tusingefungwa.

Wanasimba wapo wasiojua nini ambacho huwa kinaendelea ndani ya Uongozi wa Simba.

Sasa Chukua hii 👇

Maandalizi ya Derby halikuwa yamekamilika 100% lakini Murtaza Mangungu kaja Kutibua mipango yote

Derby haichezwi kwa Quality ya wachezaji ,Derby inachezwa Inje ya Uwanja kwa kamati za ufundi.

Simba waliandaa wataalam 19 kuicheza Mechi hii, Walipoenda Clubuni Murtuza Mangungu aliwagomea akaawaambia kuwa waache kuicheza Hiyo Mechi yeye anawatu wake amewatoa Inje watamaliza Mechi.

Wataalam wakajiweka Pembeni wakamuachia Mgeni afanye Kazi

Kilichotokea Ni sisi kufungwa Goli 5

Yaani Murtaza Mangungu anafanya maamuzi yake mwenyewe bila kushirikisha watu muhimu ndani ya Club,
Hassan Dalali,Mwina Kaduguda,Aveva Mkwabi wakina Magori wapo lakin Murtaza Mangungu kajiona yeye Ni Mungu mtu ndani ya Simba anafanya mambo bila kushirikisha uongozi wa Zamani hata kushauriwa hataki 😢

Murtaza Mangungu kawaumiza Maelf ya Wanasimba. Yeye ndiye alimua kuicheza Mech hii bila kushirikisha Matawi ya SIMBA..

Wenzetu Hii Derby matawi yao Inchi Nzima walifanya kuwa Derby Yakitaifa.Matawi Yote yameshiriki kwa 100%

Haikutosha Murtaza Mangungu Kuna Fungu kachukua upande wa Pili.
Account za CRDB Za Murtaza Mangungu zichunguzwe Kama hamjakuta pesa iliyoingizwa jana, na Hiyo account ichunguzwe Ni ya Nani nishabiki wa Timu Gani, na alimtumia Mangungu Kama nan?

Murtaza Mangungu Ni Yuda ² ndani ya Simba.

Amekuja kuimaliza Simba anatumika yeye pamoja na Watu wake waliompitisha kwa kura za Mchongo na ndiyo kawateua kawapa ujumbe ndani ya Club Sasa hivi ndiyo wanaihujumu Club.

Kama Hatatolewa haraka sana wanasimba huyu Mangungu atawachia Simba ukiwa Imechaa sana

Watu wametumia Nguvu kubwa sana kutoa Taarifa nyeti za upande wa Pili ili kuhakikisha tunafanikisha lakini Murtaza Mangungu ndiyo kawaangusha wanasimba.

MURTAZA MANGUNGU NI YUDA ESKARIOTI KAIDALALIA SIMBA.

SO SAD 😭😭😭😭
 
CLOUDS FM (SPORTS EXTRA 9:00-10:00 asubuhi

RFA 8:00-9:00 Asubuhi

EFM 9:00-12:00 MCHANA

TBC 13:00-1400

WASAFI 8:30-11:00 ASUBUHI

EAST AFRICA 1200-1300

KISS FM 1600-1900

AZAM 7:00-9:00 ASUBUHI

MSIKOSE KUSIKILIZA VIPINDI HIVI…OLE WENU MKAIDI SASA
Hapo 08:00 - 09:00 huwa siku zingine nasikilizaga WAPO RADIO pale kuna jamaa anaitwa SALUM MNOLELA, alishawahi sema kwa style ya Robertinho na wachezaji wake wa kuungunga kuna siku Simba kichaka kitawaka moto.... kikawaka kweli kwa mkono...
 
Back
Top Bottom