SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
Vipi ndugu zangu Simba hii ya kuungaunga zile Pointi 6 za Jwaneng' Galaxy zipo kweli???? 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walifikri Jwaneng ni dhaifu!Vipi ndugu zangu Simba hii ya kuungaunga zile Pointi 6 za Jwaneng' Galaxy zipo kweli???? 😂😂😂
Vipi ndugu zangu Simba hii ya kuungaunga zile Pointi 6 za Jwaneng' Galaxy zipo kweli???? [emoji23][emoji23][emoji23]
Wana ubavu huo? Hawa wa papatu papatu teh teh teh.Vipi ndugu zangu Simba hii ya kuungaunga zile Pointi 6 za Jwaneng' Galaxy zipo kweli???? 😂😂😂
Huwezi kuwaona!Hili jukwaa watu wamekimbia???
Mkuu vipi Kuhusu Onana tuendelee kumpa hiyo miaka 10 au unatengua kauli?Kila timu duniani inaruhusu goli ila janga KUBWA la Simba ni kushindwa kufunga magoli pamoja na nafasi nyingi zinazotengenezwa.
Mechi na Wydad kama tungekuwa na washambuliaji wanaojielewa ilikuwa mapema sana ushindi... Nafasi nyingi zilipatikana ila uwezo mdogo nakukosa umakini kunasababishwa na level za ubora ndo tatizo,,,,
Tatizo hilo hilo mechi zote za karibuni ndo linatugharimu...
Dhidi ya ASEC na JWANENG' ilikuwa haya haya,, nafasi zinatengenezwa lakini mapungufu ni haya haya..
Hata mechi na YANGA kabla ya kufungwa goli la 2 Simba ndo ilitakiwa angalau ipate goli kwa "V-PASS" mbili za Kapombe ambazo zilikosa umaliziaji,, ambapo kwa muda ule ilitakiwa No. 10 au 8 wakae kwenye kinusu duara au "D" mbele ya goli la Yanga..
Baleke hawezi kutimiza jukumu lake mama la kufunga kwa kuleta utoto kwenye mechi serious,,, akili yake ni kupiga CHENGA zisizo na faida na momentum ya timu kwa wakati huo,,, anataka kufanya vitu kwa faida yake na si kwa ajili ya timu...
Kwasababu kuna muda anatakiwa awatengenezee wenzake nafasi wafunge ila YEYE atalazimisha tricks zake za KIJINGA mpaka atapoteza nafasi... Mara nyingi akishaharibu atalazimisha kupiga mashuti tu yasiyo na maana... Kiufupi BALEKE ni striker tukicheza na akina COASTAL UNION na DODOMA......
CHAMA hata kama ndo inasemwa sijui FOOTBALL BRAIN yake ni KUBWA ila kukosa kasi ndo janga lake... , kama huenani na INTENSITY ya hizi mechi KUBWA kwenye level za haya mashindano you are just nothing... Ndo maana mara zote mbili alizojaribu kucheza UARABUNI ameshindwa kuendana na KASI ya SOKA la kaskazini...
KIBU ni kama anabebeshwa zigo lililomzidi uwezo kwa nafasi anayocheza,,, yaani hata kama anahangaika sana uwanjani lakini ni kama hajui anahangaika nini,,,,
WORKRATE with no EFFICIENCY is HOPELESS... Mtaani tunasema NGUVU PIPA AKILI KISODA...
SAIDO naye ni jeshi la mtu mmoja yeye kutoa pasi mapema kwake ni dhambi mpaka abanwe,, sasa ATTACKING MIDFIELDER halafu unakuwa mchoyo????, SAIDO na KIBU ndo wachezaji wanaoongoza kwa kufanyiwa rafu ka Simba kwasababu wanaopenda kukaa sana mpira,,,
ONANA hata apewe miaka 10 ya kuangaliwa, hakuna atakaloongeza kwa Simba hii....
MIQUISSONE tuishie hapo...
Chini ya mtaaluma Benchikha Azam anakufa si Chini ya 3Mechi yenu na Azam ilisogezwa mbele kuwaepusha na 5 zingine kwa mlivo kuwa mmepoteana baada ya kipigo cha 5-1 ila kwa moto alionao Azam saizi naona bado tu atawapiga nyingi, mwanachama wenu karia hajawasaidia chochote
Umechambua vzur bila mihemko[emoji106][emoji4]Kila timu duniani inaruhusu goli ila janga KUBWA la Simba ni kushindwa kufunga magoli pamoja na nafasi nyingi zinazotengenezwa.
Mechi na Wydad kama tungekuwa na washambuliaji wanaojielewa ilikuwa mapema sana ushindi... Nafasi nyingi zilipatikana ila uwezo mdogo nakukosa umakini kunasababishwa na level za ubora ndo tatizo,,,,
Tatizo hilo hilo mechi zote za karibuni ndo linatugharimu...
Dhidi ya ASEC na JWANENG' ilikuwa haya haya,, nafasi zinatengenezwa lakini mapungufu ni haya haya..
Hata mechi na YANGA kabla ya kufungwa goli la 2 Simba ndo ilitakiwa angalau ipate goli kwa "V-PASS" mbili za Kapombe ambazo zilikosa umaliziaji,, ambapo kwa muda ule ilitakiwa No. 10 au 8 wakae kwenye kinusu duara au "D" mbele ya goli la Yanga..
Baleke hawezi kutimiza jukumu lake mama la kufunga kwa kuleta utoto kwenye mechi serious,,, akili yake ni kupiga CHENGA zisizo na faida na momentum ya timu kwa wakati huo,,, anataka kufanya vitu kwa faida yake na si kwa ajili ya timu...
Kwasababu kuna muda anatakiwa awatengenezee wenzake nafasi wafunge ila YEYE atalazimisha tricks zake za KIJINGA mpaka atapoteza nafasi... Mara nyingi akishaharibu atalazimisha kupiga mashuti tu yasiyo na maana... Kiufupi BALEKE ni striker tukicheza na akina COASTAL UNION na DODOMA......
CHAMA hata kama ndo inasemwa sijui FOOTBALL BRAIN yake ni KUBWA ila kukosa kasi ndo janga lake... , kama huenani na INTENSITY ya hizi mechi KUBWA kwenye level za haya mashindano you are just nothing... Ndo maana mara zote mbili alizojaribu kucheza UARABUNI ameshindwa kuendana na KASI ya SOKA la kaskazini...
KIBU ni kama anabebeshwa zigo lililomzidi uwezo kwa nafasi anayocheza,,, yaani hata kama anahangaika sana uwanjani lakini ni kama hajui anahangaika nini,,,,
WORKRATE with no EFFICIENCY is HOPELESS... Mtaani tunasema NGUVU PIPA AKILI KISODA...
SAIDO naye ni jeshi la mtu mmoja yeye kutoa pasi mapema kwake ni dhambi mpaka abanwe,, sasa ATTACKING MIDFIELDER halafu unakuwa mchoyo????, SAIDO na KIBU ndo wachezaji wanaoongoza kwa kufanyiwa rafu ka Simba kwasababu wanaopenda kukaa sana mpira,,,
ONANA hata apewe miaka 10 ya kuangaliwa, hakuna atakaloongeza kwa Simba hii....
MIQUISSONE tuishie hapo...
Simba na akili zetu timamu tunadanganyika na Comedy za AHMED ALLY...🤣🤣🤣Chini ya mtaaluma Benchikha Azam anakufa si Chini ya 3
Moto wa Azam kwa mtibwa,Kmc na Kagera ndo unasema wana moto? We jamaa mwepesi sana kudanganyika
Kauli yangu bado naendelea nayo ndugu,,, ONANA na ndugu yake BALEKE "mzee wa mechi ndogo na tap-in zake" siyo mahitaji yetu....Mkuu vipi Kuhusu Onana tuendelee kumpa hiyo miaka 10 au unatengua kauli?
Kama mchezaji hawezi kuamua mechi kubwa basi huyo ni average player hatufai kumwita Pro ndani ya Simba .. upo sahihi kiongozi.Kauli yangu bado naendelea nayo ndugu,,, ONANA na ndugu yake BALEKE "mzee wa mechi ndogo na tap-in zake" siyo mahitaji yetu....