Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Vipi ndugu zangu Simba hii ya kuungaunga zile Pointi 6 za Jwaneng' Galaxy zipo kweli???? [emoji23][emoji23][emoji23]

Zinapatikana tu, ila si kwa urahisi. Ila hata ikitokea itakuwa ndo mwaka ambao Simba atapata matokeo bila kuwa na timu.
 
Kila timu duniani inaruhusu goli ila janga KUBWA la Simba ni kushindwa kufunga magoli pamoja na nafasi nyingi zinazotengenezwa.

Mechi na Wydad kama tungekuwa na washambuliaji wanaojielewa ilikuwa mapema sana ushindi... Nafasi nyingi zilipatikana ila uwezo mdogo nakukosa umakini kunasababishwa na level za ubora ndo tatizo,,,,

Tatizo hilo hilo mechi zote za karibuni ndo linatugharimu...
Dhidi ya ASEC na JWANENG' ilikuwa haya haya,, nafasi zinatengenezwa lakini mapungufu ni haya haya..

Hata mechi na YANGA kabla ya kufungwa goli la 2 Simba ndo ilitakiwa angalau ipate goli kwa "V-PASS" mbili za Kapombe ambazo zilikosa umaliziaji,, ambapo kwa muda ule ilitakiwa No. 10 au 8 wakae kwenye kinusu duara au "D" mbele ya goli la Yanga..

Baleke hawezi kutimiza jukumu lake mama la kufunga kwa kuleta utoto kwenye mechi serious,,, akili yake ni kupiga CHENGA zisizo na faida na momentum ya timu kwa wakati huo,,, anataka kufanya vitu kwa faida yake na si kwa ajili ya timu...

Kwasababu kuna muda anatakiwa awatengenezee wenzake nafasi wafunge ila YEYE atalazimisha tricks zake za KIJINGA mpaka atapoteza nafasi... Mara nyingi akishaharibu atalazimisha kupiga mashuti tu yasiyo na maana... Kiufupi BALEKE ni striker tukicheza na akina COASTAL UNION na DODOMA......
CHAMA hata kama ndo inasemwa sijui FOOTBALL BRAIN yake ni KUBWA ila kukosa kasi ndo janga lake... , kama huenani na INTENSITY ya hizi mechi KUBWA kwenye level za haya mashindano you are just nothing... Ndo maana mara zote mbili alizojaribu kucheza UARABUNI ameshindwa kuendana na KASI ya SOKA la kaskazini...
KIBU ni kama anabebeshwa zigo lililomzidi uwezo kwa nafasi anayocheza,,, yaani hata kama anahangaika sana uwanjani lakini ni kama hajui anahangaika nini,,,,
WORKRATE with no EFFICIENCY is HOPELESS... Mtaani tunasema NGUVU PIPA AKILI KISODA...

SAIDO naye ni jeshi la mtu mmoja yeye kutoa pasi mapema kwake ni dhambi mpaka abanwe,, sasa ATTACKING MIDFIELDER halafu unakuwa mchoyo????, SAIDO na KIBU ndo wachezaji wanaoongoza kwa kufanyiwa rafu ka Simba kwasababu wanaopenda kukaa sana mpira,,,

ONANA hata apewe miaka 10 ya kuangaliwa, hakuna atakaloongeza kwa Simba hii....

MIQUISSONE tuishie hapo...
 
SIMBA INAFUFUKA...

Wachezaji si wabaya, ila wa-brazil si makocha wazuri - fuatilia takwimu zao duniani. timu haikuwa fit wachezaji wanachoka kuanzia dk ya 70.

Sasa hivi wachezaji wamekuwa fit physically, wanakimbia na kukaba kwa umoja - wakisha cross kati basi wanajaribu kwenda kwa adui kwa kasi na pasi fupi fupi zenye uhakika...

Ni kweli tunakiona kitu kwa sasa, kama kocha ataongezewa wachezaji walau 3 drisha dogo basi moto utawaka - yaani Beki mmoja anayeweza kucheza pembeni na kati. Mido mmoja mkabaji pamoja na striker mmoja.

Naiona simba ikitoboa robo kama ikikomaa.
 
Kila timu duniani inaruhusu goli ila janga KUBWA la Simba ni kushindwa kufunga magoli pamoja na nafasi nyingi zinazotengenezwa.

Mechi na Wydad kama tungekuwa na washambuliaji wanaojielewa ilikuwa mapema sana ushindi... Nafasi nyingi zilipatikana ila uwezo mdogo nakukosa umakini kunasababishwa na level za ubora ndo tatizo,,,,

Tatizo hilo hilo mechi zote za karibuni ndo linatugharimu...
Dhidi ya ASEC na JWANENG' ilikuwa haya haya,, nafasi zinatengenezwa lakini mapungufu ni haya haya..

Hata mechi na YANGA kabla ya kufungwa goli la 2 Simba ndo ilitakiwa angalau ipate goli kwa "V-PASS" mbili za Kapombe ambazo zilikosa umaliziaji,, ambapo kwa muda ule ilitakiwa No. 10 au 8 wakae kwenye kinusu duara au "D" mbele ya goli la Yanga..

Baleke hawezi kutimiza jukumu lake mama la kufunga kwa kuleta utoto kwenye mechi serious,,, akili yake ni kupiga CHENGA zisizo na faida na momentum ya timu kwa wakati huo,,, anataka kufanya vitu kwa faida yake na si kwa ajili ya timu...

Kwasababu kuna muda anatakiwa awatengenezee wenzake nafasi wafunge ila YEYE atalazimisha tricks zake za KIJINGA mpaka atapoteza nafasi... Mara nyingi akishaharibu atalazimisha kupiga mashuti tu yasiyo na maana... Kiufupi BALEKE ni striker tukicheza na akina COASTAL UNION na DODOMA......
CHAMA hata kama ndo inasemwa sijui FOOTBALL BRAIN yake ni KUBWA ila kukosa kasi ndo janga lake... , kama huenani na INTENSITY ya hizi mechi KUBWA kwenye level za haya mashindano you are just nothing... Ndo maana mara zote mbili alizojaribu kucheza UARABUNI ameshindwa kuendana na KASI ya SOKA la kaskazini...
KIBU ni kama anabebeshwa zigo lililomzidi uwezo kwa nafasi anayocheza,,, yaani hata kama anahangaika sana uwanjani lakini ni kama hajui anahangaika nini,,,,
WORKRATE with no EFFICIENCY is HOPELESS... Mtaani tunasema NGUVU PIPA AKILI KISODA...

SAIDO naye ni jeshi la mtu mmoja yeye kutoa pasi mapema kwake ni dhambi mpaka abanwe,, sasa ATTACKING MIDFIELDER halafu unakuwa mchoyo????, SAIDO na KIBU ndo wachezaji wanaoongoza kwa kufanyiwa rafu ka Simba kwasababu wanaopenda kukaa sana mpira,,,

ONANA hata apewe miaka 10 ya kuangaliwa, hakuna atakaloongeza kwa Simba hii....

MIQUISSONE tuishie hapo...
Mkuu vipi Kuhusu Onana tuendelee kumpa hiyo miaka 10 au unatengua kauli?
 
Mechi yenu na Azam ilisogezwa mbele kuwaepusha na 5 zingine kwa mlivo kuwa mmepoteana baada ya kipigo cha 5-1 ila kwa moto alionao Azam saizi naona bado tu atawapiga nyingi, mwanachama wenu karia hajawasaidia chochote
 
Chini ya mtaaluma Benchikha Azam anakufa si Chini ya 3

Moto wa Azam kwa mtibwa,Kmc na Kagera ndo unasema wana moto? We jamaa mwepesi sana kudanganyika
 
Kuna jamaa namuambia hapa luwa Awesu Awesu marasta ni mzanzibar kabisa kutoka Makunduchi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Kila timu duniani inaruhusu goli ila janga KUBWA la Simba ni kushindwa kufunga magoli pamoja na nafasi nyingi zinazotengenezwa.

Mechi na Wydad kama tungekuwa na washambuliaji wanaojielewa ilikuwa mapema sana ushindi... Nafasi nyingi zilipatikana ila uwezo mdogo nakukosa umakini kunasababishwa na level za ubora ndo tatizo,,,,

Tatizo hilo hilo mechi zote za karibuni ndo linatugharimu...
Dhidi ya ASEC na JWANENG' ilikuwa haya haya,, nafasi zinatengenezwa lakini mapungufu ni haya haya..

Hata mechi na YANGA kabla ya kufungwa goli la 2 Simba ndo ilitakiwa angalau ipate goli kwa "V-PASS" mbili za Kapombe ambazo zilikosa umaliziaji,, ambapo kwa muda ule ilitakiwa No. 10 au 8 wakae kwenye kinusu duara au "D" mbele ya goli la Yanga..

Baleke hawezi kutimiza jukumu lake mama la kufunga kwa kuleta utoto kwenye mechi serious,,, akili yake ni kupiga CHENGA zisizo na faida na momentum ya timu kwa wakati huo,,, anataka kufanya vitu kwa faida yake na si kwa ajili ya timu...

Kwasababu kuna muda anatakiwa awatengenezee wenzake nafasi wafunge ila YEYE atalazimisha tricks zake za KIJINGA mpaka atapoteza nafasi... Mara nyingi akishaharibu atalazimisha kupiga mashuti tu yasiyo na maana... Kiufupi BALEKE ni striker tukicheza na akina COASTAL UNION na DODOMA......
CHAMA hata kama ndo inasemwa sijui FOOTBALL BRAIN yake ni KUBWA ila kukosa kasi ndo janga lake... , kama huenani na INTENSITY ya hizi mechi KUBWA kwenye level za haya mashindano you are just nothing... Ndo maana mara zote mbili alizojaribu kucheza UARABUNI ameshindwa kuendana na KASI ya SOKA la kaskazini...
KIBU ni kama anabebeshwa zigo lililomzidi uwezo kwa nafasi anayocheza,,, yaani hata kama anahangaika sana uwanjani lakini ni kama hajui anahangaika nini,,,,
WORKRATE with no EFFICIENCY is HOPELESS... Mtaani tunasema NGUVU PIPA AKILI KISODA...

SAIDO naye ni jeshi la mtu mmoja yeye kutoa pasi mapema kwake ni dhambi mpaka abanwe,, sasa ATTACKING MIDFIELDER halafu unakuwa mchoyo????, SAIDO na KIBU ndo wachezaji wanaoongoza kwa kufanyiwa rafu ka Simba kwasababu wanaopenda kukaa sana mpira,,,

ONANA hata apewe miaka 10 ya kuangaliwa, hakuna atakaloongeza kwa Simba hii....

MIQUISSONE tuishie hapo...
Umechambua vzur bila mihemko[emoji106][emoji4]
 
Chini ya mtaaluma Benchikha Azam anakufa si Chini ya 3

Moto wa Azam kwa mtibwa,Kmc na Kagera ndo unasema wana moto? We jamaa mwepesi sana kudanganyika
Simba na akili zetu timamu tunadanganyika na Comedy za AHMED ALLY...🤣🤣🤣
Eti leo tumwombe msamaha ONANA kisa kufunga goli mbili dhidi ya WYDAD??? 😂😂😂 Hata SAKHO naye alikuwa anafunga magoli tena matamu ya kihistoria,,, ila shida ni MWENDELEZO....
Mchezaji wa mihemuko siyo wa kucheza timu yenye malengo makubwa kama Simba...
Na alivyo na akili mbaya SIMBA ingeifunga KMC ndo AHMED ALLY na CHAWA wenzake wangekazia kuwa tuna timu bora haina haja ya kusajili...
Simba hii ya maji kupwa maji kujaa mbele ya AZAM hii ya sasa tushukuru mechi imesogezwa mbele...
 
Kauli yangu bado naendelea nayo ndugu,,, ONANA na ndugu yake BALEKE "mzee wa mechi ndogo na tap-in zake" siyo mahitaji yetu....
Kama mchezaji hawezi kuamua mechi kubwa basi huyo ni average player hatufai kumwita Pro ndani ya Simba .. upo sahihi kiongozi.

One to one - clear chance yeye na kipa ama yeye na beki mmoja - Baleke kafeli kwa 80%. Hatufai.
 
Back
Top Bottom