Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani leo tuko Shamba la Bibi dhidi ya Manyema aka Mkuki Mkali watoto wa King Mputa Maseko Kibaden,....
Ndege ya Uchumi, mpira hauna shamba la bibi.... Sijui tutasemaje baada ya dk 90 kama mambo yakiwa tofauti na matarajio yetu..
Vipi matokeo wadau?
dakika ya 69 ulimboka anaingia eneo la adhabu inakuwa penati
anaenda kupiga mussa hassan mgosi lalaalaaaaa goooooooooooooooooooooooooooooooo
pipiiii kidedeeedeeaaaaaaaa
simba 2 manyema 0
inaonekana ulimboka amekuwa rejuvenated baada ya kuwa majeruhi muda mrefu amefunga moja kisha ametengeneza jengine
goli la mgosi ni goli lake la 13
naona ngassa anafukuza upepo hampati
Hamkutuzidi mbinu yoyote,ila sisi tuko very allergic na mipombe,thats the only reason why!!Tuliwazidi mbinu za kimchezo,kwani haukuona???.Mtizamo wako wewe ukoje,ni kwa nini tuliwafunga??
taifa kubwaoooooooooooooo kidedea