Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Nacheka Taratiibu, Gemu ijayo na nani waku? So Out of Six Games tukishinda tatu tu Mabingwa provaidedi zat Kandambili ashinde zote inkludingi Mnyama LoL!
 
Nacheka Taratiibu, Gemu ijayo na nani waku? So Out of Six Games tukishinda tatu tu Mabingwa provaidedi zat Kandambili ashinde zote inkludingi Mnyama LoL!
Oyaah...Kidededea tuu mwaka huu..Kandambili wamesha sambaratika tuu...
walitegemea tutalala leo..hehehehehe...na Jumamosi watakula kichapo from FC Lupopo...
bravo Simba and the troops
 
Oyaah...Kidededea tuu mwaka huu..Kandambili wamesha sambaratika tuu...
walitegemea tutalala leo..hehehehehe...na Jumamosi watakula kichapo from FC Lupopo...
bravo Simba and the troops
Hongereni wanyama!!
Lakini.....Jangwani wangechukua ubingwa tena mwaka huu ligi ingekuwa ina-bore sana. Hekima tu ya wazee wa Jangwani imetumika kumwachia huyu hayawani ili kuendelea kunogesha ligi. Simba ubingwa mara 17 oyee!!(??)....Jangwani ubingwa mara 22 oyee!!
 
gemu zijazo
21/2 moro utd vs simba
24/2 african lyon vs simba
06/03 simba vs jkt ruvu
16/03 simba vs azam
11/04 yanga vs simba
17/04 mtibwa sugar vs simba

vp kuhusu wananchi wavaa kandambili?
18/02 yanga vs kagera sugar
22/02 yanga vs toto african
07/03 yanga vs azam
17/03 moro utd vs yanga
11/04 yanga vs simba
17/04 prisons vs yanga

ratiba iliyobaki ndo hiyo unless chochote kitokee kivyruge ratiba
na ukiangalia kwa mechi zilizobaki tutakuwa tayari mabingwa kabla ya kucheza na yanga
mechi ya simba na yanga itakuwa maalum kwetu kwa ajili ya kupewa kombe
 
NILIPOAMUA KUWA MPENZI WA SIMBA ...NILIKUWA NA SABABU.....!
Bravo mashabiki,wapenzi,wanachama,wajumbe,washauri,viongozi na wachezaji HASA WALE WANAOTOA NAFASI YA WENZAO KUCHEZA.......!
 
Hivi IPP media wamesitisha mgomo wao wa Kutangaza habari za Mnyama?
 
gemu zijazo
21/2 moro utd vs simba
24/2 african lyon vs simba
06/03 simba vs jkt ruvu
16/03 simba vs azam
11/04 yanga vs simba
17/04 mtibwa sugar vs simba

vp kuhusu wananchi wavaa kandambili?
18/02 yanga vs kagera sugar
22/02 yanga vs toto african
07/03 yanga vs azam
17/03 moro utd vs yanga
11/04 yanga vs simba
17/04 prisons vs yanga

ratiba iliyobaki ndo hiyo unless chochote kitokee kivyruge ratiba
na ukiangalia kwa mechi zilizobaki tutakuwa tayari mabingwa kabla ya kucheza na yanga
mechi ya simba na yanga itakuwa maalum kwetu kwa ajili ya kupewa kombe
06/03 Tutakuwa mabingwa officially...tujitokeze kwa wingi Uhuru Stadium kuwa pongeza mashujaa wetu waliocheza kwa ari msimu huu...
 
Nafikiri mgomo sio wa ipp media ila ni wa itv /radio one magazeti yao hayana shida na nafikiri nipashe is pro simba kwani habari zao za michezo hazina comment mbaya juu yetu kuliko wapinzani wetu
ila itv/radio one nafikiri mkurugenzi wao atakuwa anawasumbua kwani sidhani kama deo rweyunga ambae ni mkurugenzi wa radio one anaweza kutoa maamuzi ya kijinga kama hayo kwani inafahamika yeye ni mnazi wa kutupwa wa wekundu wa msimbazi

nafikiri yule mama mhavile mashetani ya kihehe sijui au ya wapi yatakuwa huwa yanampeleka puta anahitaji apepewe maana wakati huu wa ushindani mkali wa biashara baada ya revival ya tbc nilitaraji wafanye mikakati ya kuincrease customer base yao na si kuwapoteza
 
Nimesikitishwa sana na IPPMediakuharibu vodacom premier league kwa kubagua timu... kwa kweli kabisa kama tunataka nchi iliyo na inayoheshimu usawa na haki bila upendeleo au matabaka then media council, TASWA, wizara na wadau lazma watoe tamko

i am sick to my stomach kwa tabia ya ajabu inayoonyeshwa na station inayodhani inaheshimu maadili

we have three alternative
kususia ippmedia - we have more than 40% of the business
au kuripoti hii anga za juu
ya tatu ni kignore (which i dont like
 
Hawajui biashara hawa
 
Hawajui biashara hawa
haya ndio madhara ya personal media companies!!!

I hope clouds wataanza kuwa na different channels na walete TV yenye ku-replace hawa wapuuzi!!! kuanzia leo sidhani kama ntawasikiliza tena aisee
 
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kidedea Simba 2-manyema mkuki wa sumu 0
 
Kwakweli nimeamini huyu mwamuzi aliyechezesha leo ni uharo mtupu.
Haya ndo madhara ya marefa kulipwa elfu kumi na tano kwa mechi...
 
Kwakweli nimeamini huyu mwamuzi aliyechezesha leo ni uharo mtupu.
Haya ndo madhara ya marefa kulipwa elfu kumi na tano kwa mechi...

nini wewe?Manji mmempeleka wapi?ina maana tumehonga marefa ligi nzima?
 
haya ndio madhara ya personal media companies!!!

I hope clouds wataanza kuwa na different channels na walete TV yenye ku-replace hawa wapuuzi!!! kuanzia leo sidhani kama ntawasikiliza tena aisee

Binafsi nimeacha kusikiliza Radio One...and i know i'm a drop in the ocean but hoping we are many drops in the same ocean!
 
06/03 Tutakuwa mabingwa officially...tujitokeze kwa wingi Uhuru Stadium kuwa pongeza mashujaa wetu waliocheza kwa ari msimu huu...

Siku hiyo lazima niwepo Uhuru kumshangilia Mnyama!
 
Siku hiyo lazima niwepo Uhuru kumshangilia Mnyama!
Na mimi nitakuwepo itabidi tufanye juu chini wanasimba ambao wako JF tuonane na kushangilia ushiindi kwa furaha sana. NamPM na Nguli awepo uwanjani siku hiyo
 
Nitakuwepo pia jukwaa la mzunguko 😀 !!!
Itabidi uongozi wa Simba uongee na serikali ili hiyo mechi ipigwe kwenye uwanja wa taifa. Nitajitahidi nikuone bra Sinka
 
Back
Top Bottom