Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oyaah...Kidededea tuu mwaka huu..Kandambili wamesha sambaratika tuu...Nacheka Taratiibu, Gemu ijayo na nani waku? So Out of Six Games tukishinda tatu tu Mabingwa provaidedi zat Kandambili ashinde zote inkludingi Mnyama LoL!
Hongereni wanyama!!Oyaah...Kidededea tuu mwaka huu..Kandambili wamesha sambaratika tuu...
walitegemea tutalala leo..hehehehehe...na Jumamosi watakula kichapo from FC Lupopo...
bravo Simba and the troops
06/03 Tutakuwa mabingwa officially...tujitokeze kwa wingi Uhuru Stadium kuwa pongeza mashujaa wetu waliocheza kwa ari msimu huu...gemu zijazo
21/2 moro utd vs simba
24/2 african lyon vs simba
06/03 simba vs jkt ruvu
16/03 simba vs azam
11/04 yanga vs simba
17/04 mtibwa sugar vs simba
vp kuhusu wananchi wavaa kandambili?
18/02 yanga vs kagera sugar
22/02 yanga vs toto african
07/03 yanga vs azam
17/03 moro utd vs yanga
11/04 yanga vs simba
17/04 prisons vs yanga
ratiba iliyobaki ndo hiyo unless chochote kitokee kivyruge ratiba
na ukiangalia kwa mechi zilizobaki tutakuwa tayari mabingwa kabla ya kucheza na yanga
mechi ya simba na yanga itakuwa maalum kwetu kwa ajili ya kupewa kombe
Hawajui biashara hawaNimesikitishwa sana na IPPMediakuharibu vodacom premier league kwa kubagua timu... kwa kweli kabisa kama tunataka nchi iliyo na inayoheshimu usawa na haki bila upendeleo au matabaka then media council, TASWA, wizara na wadau lazma watoe tamko
i am sick to my stomach kwa tabia ya ajabu inayoonyeshwa na station inayodhani inaheshimu maadili
we have three alternative
kususia ippmedia - we have more than 40% of the business
au kuripoti hii anga za juu
ya tatu ni kignore (which i dont like
haya ndio madhara ya personal media companies!!!Hawajui biashara hawa
Kwakweli nimeamini huyu mwamuzi aliyechezesha leo ni uharo mtupu.
Haya ndo madhara ya marefa kulipwa elfu kumi na tano kwa mechi...
haya ndio madhara ya personal media companies!!!
I hope clouds wataanza kuwa na different channels na walete TV yenye ku-replace hawa wapuuzi!!! kuanzia leo sidhani kama ntawasikiliza tena aisee
Hivi hajui hata Inv ni mwekunde? Atapigwa ban hadi nyumbani kwake! 🙂This is last warning.maneno mengine kaandike kwenye jukwaa lenu la sivyo kutakupiga ban humu!!!
06/03 Tutakuwa mabingwa officially...tujitokeze kwa wingi Uhuru Stadium kuwa pongeza mashujaa wetu waliocheza kwa ari msimu huu...
Na mimi nitakuwepo itabidi tufanye juu chini wanasimba ambao wako JF tuonane na kushangilia ushiindi kwa furaha sana. NamPM na Nguli awepo uwanjani siku hiyoSiku hiyo lazima niwepo Uhuru kumshangilia Mnyama!
Itabidi uongozi wa Simba uongee na serikali ili hiyo mechi ipigwe kwenye uwanja wa taifa. Nitajitahidi nikuone bra SinkaNitakuwepo pia jukwaa la mzunguko 😀 !!!