Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Yaani jana waziwazi mmenunua mechi...hii nchi kila sehemu ni rushwa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SERIOUS? bwa hahahahhahahAzam 1 Yanga 0
Pole sana mkuu GANG LONGAYaani jana waziwazi mmenunua mechi...hii nchi kila sehemu ni rushwa tu
SERIOUS? bwa hahahahhahah
Gang Chomba huku unafanya nini Bana, nenda kachangamshe Jukwaa lenu la Kandambili ikizingatia leo mna Game sioni Jukwaa likuwa updated
Yaani jana waziwazi mmenunua mechi...hii nchi kila sehemu ni rushwa tu
hakuwa na shida ya unyumba jamaa.si angemuacha mke wake ashangilia ushindi wa timu yake tu na baadae hapewe unyumba kwa furaha.Ushabiki Simba, Yanga wavuruga ndoaPamela Chilongola![]()
USHINDI wa mabao 3-1 ilioupata Simba dhidi ya JKT Ruvu, Jumamosi ulisababisha kizazaa kwenye maeneo ya Manzese jijini Dar es Salaam kati ya wanandoa.
Wanandoa hao ambao mwanaume ni shabiki wa Yanga na mkewe shabiki wa Simba walijikuta hawaelewani.
Mwandishi wa Mwananchi alishuhudia tukio baina ya wanandoa hao wakigombea redio baada ya Simba kushinda.
Wanandoa hao wakisikiliza redio huku ubishi baina yao ukiendelea, uligeuka baada ya Simba kufunga bao la kwanza na ndipo mwanaume ambaye ni shabiki wa Yanga alipoikimbilia redio na kuizima.
Mwanaume huyo ( jina tunalo) alipozima redio hiyo ndipo ugomvi mkubwa uliibuka baada ya mwanamke(jina pia tunalo) akidai mumewe aiwashe redio asikilize jinsi timu yake anayoipenda ilivyokuwa ikicheza.
Mwanaume huyo alikataa na kumweleza mkewe, "Nende ndani ukalale, mwanamke gani unayependa kushabikia mpira kama wanaume, ondoka hapa, la sivyo nitakupiga".
Mwanamke huyo alipoona mumewe huyo kapandwa na jazba na kuzima redio alimwambia," Leo hii ukinipiga na mimi sikupi unyumba tuone nani zaidi."
Kitendo kile kilimudhi mume wake ambaye alianza kumshushia kipigo mkewe huku akimtamkia kuwa atampa talaka. Hadi Mwananchi inaondoka katika tukio hilo, ugomvi mkubwa uliotokana na ushabiki wa Simba, Yanga ulikuwa ukiendelea na kuvuta watu wengi wakiwa na shauku ya kujua kilichokuwa kikitokea.
Mkuu jamaa alikuwa na jazba ukizingatia yeye ndio baba mwenye nyumba na redio usikute yy ndo kanunua halafu anaona anafungwa......ila alikuwa na jazba tu na badohakuwa na shida ya unyumba jamaa.si angemuacha mke wake ashangilia ushindi wa timu yake tu na baadae hapewe unyumba kwa furaha.
Simba yajiandaa kupokea ubingwa jumapili
Sweetbert Lukonge
WAKATI mikikimikiki ya Ligi Kuu ya Bara ikielekea ukingoni na kila timu ikiwa imebakiza mechi tatu ili kumalizika kwa michuano hiyo Uongozi wa Simba umesema unatarajia kusherehekea ubingwa wa ligi hiyo Jumapili katika mchezo dhidi ya Azam.
Simba ambayo kwa sasa ina ponti 53 inahitaji pointi mbili ili iweze kutangaza ubingwa wake wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ambao pia utaiwezesha timu hiyo kuiwakilisha nchi katika mashindano ya Klabu bingwa barani Afrika hapo mwakani.
Akizungumza na Mwananchi jana Ofisa habari wa timu hiyo Cliford Ndimbo alisema pamoja na Azam kuwa moja ya timu ngumu kati ya timu zinazoshiriki Ligi Kuu msimu huu wana matumaini makubwa ya kusherehekea ubingwa huo Jumapili.
Timu mpaka sasa ipo katika hali nzuri na wachezaji wanaendelea kujifua vilivyo kwa ajili ya mchezo huo wa Jumapili ambao tunausubili kwa hamu kubwa ili tuweze kutangaza ubingwa.
Tunaamini kuwa mechi itakuwa ni ngumu, lakini kutokana na mazingira mazuri pamoja na morali mkubwa walionao wachezaji ni matumaini yetu kuwa tutafanya vizuri katika mchezo huo,alisema Ndimbo.
Simba endapo itashindwa kufanya vizuri katika mchezo huo wa Jumapili itabidi ihakikishe inaibuka na ushindi katika mchezo wake dhidi ya Yanga ambao utafanyika Aprili 21.
huu mbona umepelekwa mbali kote huko wakati ulikuwa umepangwa tarehe 4/4
ngoja tukale vichwa kwa mugabe maana bongo hakuna mpinzani wala nini