Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Huwezi mnyama mambo yake. Na hujuma zote tumeshinda, sasa wakija TZ nikuwararua tu. Kanda2 nadhani watafanya uungwana.
 
Mnyama anaendelea kuweka Clean Sheet dose tu nje na ndani ya nchi...BIG UP MNYAMAAAA tafunaa nyam! nyam!

YANGA bwana wao ligi ya nyumbani na makombe ya Kugombea mbuzi.....ndio akili zao zilipo!!!!..ukiwapandisha ndege tu kichefuchefu.....hawawezi,....

vipi ,mechi hii Sheikh Yahya HAKUWEKE utabiri???
 
the difference between a lion and a slipper is very clear!!!
 
YANGA bwana wao ligi ya nyumbani na makombe ya Kugombea mbuzi.....ndio akili zao zilipo!!!!..ukiwapandisha ndege tu kichefuchefu.....hawawezi,....

vipi ,mechi hii Sheikh Yahya HAKUWEKE utabiri???

Pakeni rangi na kukarabati vyoo jengo lenu...
 
Mkuu singles huwa zinabadilika unayo hii ta ngu mwaka jana bana!!! sisi rangi hatupaki lakini tunalipa mishahara, sasa wewe umepaka rangi mishahara hulipi... vipi yakhe bora afya au bora mali??

nalinganisha yanga na mtu kavaa suti kali lakini njaa tele tumboni... kisa, kutegemea burushi
 
Raha ya kuchukua ubingwa mapema na raha ya kwenda kushiriki mechi za kimataifa wakati tayari ni bingwa haisemeleki ndugu zangu wanamsimbazi. Lengthens kala 3 - 0 na inawezekana wakakacha hata mechi ya marudiano kwa kisingizio cha ukata. Simba juuuuuuu, Yanga hureeeeeee
 
He he he ! kwani vyoo ndio vina cheza uwanjani? hapa tunazungumzia kabumbu sio habari za kujisaidia, hiyo itakuwa topic nyingine.

muulize huyo chomba, ana picha za vyoo vya yanga??? na pia je simba huwa wanapiga kambi pale msimbazi? sisi huchukua hoteli ila yanga kuna wchezaji jangwani ndio nyumbani; the difference is clear!!

Maybe next season vyoo na mabafu yatakua yanakaa golini na kwenye winga!, halafu rangi zitacheza midfield halafu tuone kazi bila mshahara inakuaje!
 
Pakeni rangi na kukarabati vyoo jengo lenu...
Usione soo kutupongeza mambo ya choo baadae maana wenye vyoo vizuri walisha yaaga mashindano siku nyingi....karibu msimbazi au kama vipi nipe jina lako kamili nikuletee kadi ya Msimbazi uwe unatembea kifua mbele...
 
-hongera Simba,ninyi ndo mnaoweza tu kutetea heshima ya taifa...hawa wazushi wa kijani na njano wamefulia kote kote,kwenye siasa hadi kwenye soka.Wamewekeza ktk kulitia taifa hasara na aibu tu
 
Naaam Mr. Ben
 
picture.php

Kocha wa Lengthens ya Zimbabwe, Norman Mapeza akiwa haamini kinachotokea uwanjani wakati Simba ilivyokuwa ikiisambaratisha timu yake hapo jana. Makocha wengi watajuta sana mwaka huu kukutana na Simba.
 
Mkuu singles huwa zinabadilika unayo hii ta ngu mwaka jana bana!!! sisi rangi hatupaki lakini tunalipa mishahara, sasa wewe umepaka rangi mishahara hulipi... vipi yakhe bora afya au bora mali??

nalinganisha yanga na mtu kavaa suti kali lakini njaa tele tumboni... kisa, kutegemea burushi
De Novo, hii ( black) nimeipenda
 
Usione soo kutupongeza mambo ya choo baadae maana wenye vyoo vizuri walisha yaaga mashindano siku nyingi....karibu msimbazi au kama vipi nipe jina lako kamili nikuletee kadi ya Msimbazi uwe unatembea kifua mbele...

Siwezi kushabikia Simba hasilani abadani.
na mnavyojisifia kuwafunga hao wandebele yaani utadhani mmewafunga Enyimba Musica...

Vizimbabwe vyenyewe vina njaa kuanzia kichwani mpk unyayoni...wanapata mlo mmoja tu kwa siku, halafu eti mnawafunga kisha mnajigamba....

Acheni ushamba nyieee...
Mngemfunga al-ahly si ndo mngeandika habari za Simba mpk kwenye jukwaa la siasa...
 
Kwi kwi kwi😀😀😀.............hahaaaaaaaaaa....Lolz....Anyways(Gang Chomba) Simba watakuwa mabingwa wa CAF mwaka huu,unabisha???🙂🙂.....
 
Barantanda ndugu yangu tuombe uzima.
Ila hawa ni wa hapahapa...
Kwani si walishafikaga Fainali ya CAF?
Si unakumbuka Bolizozo alikuja kuwashikisha aadab hapahapa?

Teh teh kisha gazeti la motomoto enzi hizo likapambwa na kichwa kikuuuubwa cha habari ''simba koko aufyata mkia'' kwaaa kwaaa kwaaaaaaa....
Hawakuambulia KIA wala KIATU
 
Siwezi kushabikia Simba hasilani abadani.
na mnavyojisifia kuwafunga hao wandebele yaani utadhani mmewafunga Enyimba Musica...

Vizimbabwe vyenyewe vina njaa kuanzia kichwani mpk unyayoni...wanapata mlo mmoja tu kwa siku, halafu eti mnawafunga kisha mnajigamba....

Acheni ushamba nyieee...
Mngemfunga al-ahly si ndo mngeandika habari za Simba mpk kwenye jukwaa la siasa...
yes, na ndio maana tulipowachapa zamalek kwao tuliandika kila mahala
 
Back
Top Bottom