SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,613
- 7,889
Hawakuambulia KIA wala KIATU
Lile lilikuwa zengwe tu🙂! Simba hii ya Phiri ni moto usiozimika kirahisi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawakuambulia KIA wala KIATU
Lile lilikuwa zengwe tu🙂! Simba hii ya Phiri ni moto usiozimika kirahisi!
Wana Msimbazi, ikiwa SImba itasonga mbele kuna uwezekano wa kukutana na timu gani? Naona msimu huu huenda SImba ikafikia hatua ya makundi.
Siwezi kushabikia Simba hasilani abadani.
na mnavyojisifia kuwafunga hao wandebele yaani utadhani mmewafunga Enyimba Musica...
Vizimbabwe vyenyewe vina njaa kuanzia kichwani mpk unyayoni...wanapata mlo mmoja tu kwa siku, halafu eti mnawafunga kisha mnajigamba....
Acheni ushamba nyieee...
Mngemfunga al-ahly si ndo mngeandika habari za Simba mpk kwenye jukwaa la siasa...
Timu ya Misri (Haras el Hodoud au timu ya Ethiopia (Banks) lkn uwezekano nimkubwa wa kukutana la wa Misri kwani mechi yao ya kwanza walitoka sare ya goli moja kwa moja ugenini tuombe Mungu tuingie Makundi kwani hao wa misri hawa tishi kivile, kama sikosei ndiyo wale waliocheza na timu ya Zanzibar wakaitoa kwa tabu...Wana Msimbazi, ikiwa SImba itasonga mbele kuna uwezekano wa kukutana na timu gani? Naona msimu huu huenda SImba ikafikia hatua ya makundi.
Nime- notice kuwa Wazimbambwe wana jumla ya timu nne zinazoshriki katika haya mashindano Mawili ya Champions na Confederations (Lengthens,CAPS United,Gunners & Dynamos)..Does anyone know why,na criteria inayotumika na CAF timu kuwa na timu zaidi ya moja katika shindano moja? Najua kuhusu Mabingwa kama TP Mazembe na Lupopo wote wanashiriki Champions bcoz TP Mazembe ni mabingwa watetezi,ila sielewi kuhusu huu mfano wa Zimbabwe,mwenye data pliz
Bila shaka inatokana na kiwango cha nchi. Kama UEFA vile si unatujua watu weusi kwa kuiga. Nchi ambayo kiwango kiko juu inatimu mbili, Misri, Moroko, Algeria, Ghana, Cote d'voire na the list goes on.
Say it again broo!!!Sema fainali bana makundi wapi ndugu yangu!!!
Jamani wana msimbazi nasikia Okwi na Owino kaenda zake Uganda mara Yebo yebo wana mmendea je kuna mtu ana-data au ni uzushi tu....
Okwi kaenda uganda na owina yupo dar.witw wanayo mkataba mpaka 2012 kwa hiyo kanda mbili hawana ubavu kuvunja mkataba na nilikuwa na kassim dewji juzi na kama kuuza wachezaji tutawauza ulaya na siyo tanzania.ila okwi hatujui mambo yako aje maana simu yake haipatikani lakini wanajamii hao tutakuwa nao tuu.yanga hawana mbavu kutubomoa
Say it again broo!!!
watu wanakula kuku kwanzaHii thread mbona inasahulika au kwakuwa tushanyakuwa Ubingwa?
Kweli hii tarehe ni muhimu maana tunataka ndio siku hiyo tukabidhiwe kombe letu la kihistoriawatu wanakula kuku kwanza
tunangoja tr 11 tuwanyoe hawa kanda2