Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Njiwa nae alikuwepo kushuhudia magoli

908022_orig.jpg
 
Nimegundua ushabiki wa mpira wa Bongo umepungua sana Yanga VSimba Nimeona jana watu wanasikitika sana Arsenal ilipokula kichapo wakati Yanga pia tumepata kichapo Kweli mambo yanaenda yakibadirika kwa kasi Mfukunyuzi asante kwa picha
 
BAdo mechi moja tu Simba waweke historia na rekodi mpya ya soka nchini; naamini hilo watalifanya. Mwaka huu ni mwka wa Simba kitaifa na Kimataifa naamini SImba watawatoa kamasi hao Waarabu wa Misri kwenye CAF na kutinga hatua ya makundi .
 
Kazi imefanywa kwa uzuri sana.. maana jamaa jana walikuwa wanafuzia tu (..coming from behind)
 
I hope you have not joined JF to celebebrate Simba's victory over Yanga and we will continue to enjoy your presence and contributions Welcome!

thankyou man we are together here
 
Congrats Msimbazi see you next season
 
Kituo cha televisheni cha ITV hakikutangaza kabisa mchezo wa watani wa jadi juzi usiku. Hata timu hizo zilipokutana kwa mara ya kwanza na Simba kutoka kidedea, ITV haikutangaza mchezo ule. Nauliza tatizo ni nini, au kwa kuwa mmiliki wa kituo hicho ni mshabiki wa Yanga?
 
Bifu halina uhusiano na mmiliki kabisaa..Bifu ni la Utawala wa ITV/Radio One na Simba na ninavyojua mimi lilitokana na Kaduguda kuwatimua Radio One kutangaza moja kwa moja mechi ya Simba pale Uwanja wa Uhuru.

ITV = Mengi = KANDAMBILI = YEBOYEBO = YANGA!

Umenielewa?
 
Kituo cha televisheni cha ITV hakikutangaza kabisa mchezo wa watani wa jadi juzi usiku. Hata timu hizo zilipokutana kwa mara ya kwanza na Simba kutoka kidedea, ITV haikutangaza mchezo ule. Nauliza tatizo ni nini, au kwa kuwa mmiliki wa kituo hicho ni mshabiki wa Yanga?

Hapo kuna mambo mengi,Kitenge ni Yanga na Mengi ni Yanga sasa kipi kitatokea na pia walisema kuwa washabiki wa Simba walitishia kuharibu kamera za watangazaji wa ITV kama wataonyesha mechi za Simba za mzunguko wa pili.Hio ikawa sababu ya kutoonyesha au kutoa habari za Simba.Ila wataipenda tu Simba maana Taifa kubwa.
 
Dalani alimtukana Mengi na vyombo vyake vya habari na Mengi akaapa hatatangaza kamwe habari za Simba

Kamwe si dhani, Simba ni taifa kubwa ndio maana timu zote za Tanzania zinapenda kufungwa na Simba ikiwemo Yanga.
 
ITV = Mengi = KANDAMBILI = YEBOYEBO = YANGA!

Umenielewa?
Hakuna uhusiano, ina maana ITV walijua kama yanga watafungwa? naweza kukubaliana na aliyesema kuwa kaduguda aliwakataza redio 1 kutangaza mpira wa simba.
 
Hakuna uhusiano, ina maana ITV walijua kama yanga watafungwa. naweza kukubaliana na aliyesema kuwa kaduguda aliwakataza redio 1 kutangaza mpira wa simba.

Nimekusaidia kukupigia mstari kwenye hilo jibu sahihi ulilolitoa....:rolleyez:
 
Back
Top Bottom