Imeshaisha hiyo, Etoil du Sahel hawezi toboa tena. Rasmi hamishaaga klabu bingwaDah mazee sahel amepigwa na us monastir amebaki na point 11 na mechi mbili mkonon akishinda zote ana 17. Esperance ana point 17 anacheza kesho.
Sahel kabakiza game na Esperance na club African .
Tuombe dua dua Kesho Esperance apate hata sare afikishe point 18 kama monastir mchezo umeisha View attachment 2265244
sijaelewa hapa mkuu...kwa hyo simba ataanza kama utopolo au anaenda second round?Imeshaisha hiyo, Etoil du Sahel hawezi toboa tena. Rasmi hamishaaga klabu bingwa
jina la utopolo lina wenyewe usijaribu kuhamisha jina lenuSafari hii soka lipo jangwani. Huko kwingine ni utopolo tu.
So kwenye mechi za kimataifa tuitazame jangwani
mkuu Etoile alifungwa au draw?Maombi yamejibiwa, tunaanza round ya kwanza.
Kafungwa goli mbili na Monastirmkuu Etoile alifungwa au draw?
So Simba anaanzia awali?Maombi yamejibiwa, tunaanza round ya kwanza.
kazi imeishaKafungwa goli mbili na Monastir
wanaanzia first stage ukitolewa unaenda shirikisho ,Yanga wanaanzia pleminary wakipigwa wanarudi home moja kwa mojaSo Simba anaanzia awali?
Kimsingi Dua imeswihi ee?Esperance kashinda Leo ana point 20. Officially sahel hawez fikisha point za monastir 18 . Na asipoangalia hata conferederation anaweza asiende
safari ilikuwa ndefu sanaaaaaaWana huu mkeka wetu umetiki
Safi kabisaWana huu mkeka wetu umetiki