Huna mana.Mimi ni mzarendo tena kweli kweli ila kwa matokeo ya fc vita ya leo bila shaka safari yenu imefikia ukingoni, unafahamu ni kwanini?
Kwanza mechi ya leo saa nne uwezo wakushinda haupo wala tusilishane tango pori. Kwa maana hyo basi saura wataongoza kundi kwa point 8 watafata wa misri na point 7 alafu fc vita na point 7 simba mtakuwa mnabuluza mkia na point 6.
Kimbembe sasa kitakuwa taifa ile ndo itakuwa fainali ya mwaka huu ya club bigwa barani africa afe kipa afe beki fc vita 2 simba 1 simba nje .
Picha ya dada mmoja tafadhali,maana mechi naangalia nyumbani kushuhudia mrembo akikatwa shangaKitambo sana nipo na k-vant kubwa mbele ya screen kubwa na wahudumu wenye matako makubwa na subilia timu kubwa iwapapase.
Kuelewa umeelewa lakini? tukutane saa sita usiku unipe mrejesho. Kama nakuona ulivyo fula kwa majonzi ulitaka waafrica wenzako wafungwe?We nawe unajua nini hata kuandika vizuri hujui.....sasa mzarendo ndo nn???
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Mkuu,kwa nini unaichukia Simba?Kitambo sana nipo na k-vant kubwa mbele ya screen kubwa na wahudumu wenye matako makubwa na subilia timu kubwa iwapapase.
Bila shaka unatumika na mabeberu. JokesMimi ni mzarendo tena kweli kweli ila kwa matokeo ya fc vita ya leo bila shaka safari yenu imefikia ukingoni, unafahamu ni kwanini?
Kwanza mechi ya leo saa nne uwezo wakushinda haupo wala tusilishane tango pori. Kwa maana hyo basi saura wataongoza kundi kwa point 8 watafata wa misri na point 7 alafu fc vita na point 7 simba mtakuwa mnabuluza mkia na point 6.
Kimbembe sasa kitakuwa taifa ile ndo itakuwa fainali ya mwaka huu ya club bigwa barani africa afe kipa afe beki fc vita 2 simba 1 simba nje .
Kuelewa umeelewa lakini? tukutane saa sita usiku unipe mrejesho. Kama nakuona ulivyo fula kwa majonzi ulitaka waafrica wenzako wafungwe?
Itabidi ukumbatie mto mzee baba.Picha ya dada mmoja tafadhali,maana mechi naangalia nyumbani kushuhudia mrembo akikatwa shanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo walivyo tuzoelesha acha tuendelee kutumika amna namna.
AS Vita akija DSM anatoa droo tu inamtosha kufuzu kwa kuwa alipiga goli 5 (head to head) na ndio decision criteria timu zikilinganisha points
Sent using Jamii Forums mobile app