Simba tuliwapenda sana ila safari yenu hapa ndo mwisho.

Manofu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Posts
1,317
Reaction score
2,020
Mimi ni mzarendo tena kweli kweli ila kwa matokeo ya fc vita ya leo bila shaka safari yenu imefikia ukingoni, unafahamu ni kwanini?

Kwanza mechi ya leo saa nne uwezo wakushinda haupo wala tusilishane tango pori. Kwa maana hyo basi saura wataongoza kundi kwa point 8 watafata wa misri na point 7 alafu fc vita na point 7 simba mtakuwa mnabuluza mkia na point 6.

Kimbembe sasa kitakuwa taifa ile ndo itakuwa fainali ya mwaka huu ya club bigwa barani africa afe kipa afe beki fc vita 2 simba 1 simba nje .
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mtani kazi anayo akikaa vibaya ataoga za kutosha ila apambane kila kilab ishinde mechi zake

[emoji375][emoji375]
 
Mimi ni mzarendo tena kweli kweli ila kwa matokeo ya fc vita ya leo bila shaka safari yenu imefikia ukingoni, unafahamu ni kwanini?

Kwanza mechi ya leo saa nne uwezo wakushinda haupo wala tusilishane tango pori. Kwa maana hyo basi saura wataongoza kundi kwa point 8 watafata wa misri na point 7 alafu fc vita na point 7 simba mtakuwa mnabuluza mkia na point 6.

Kimbembe sasa kitakuwa taifa ile ndo itakuwa fainali ya mwaka huu ya club bigwa barani africa afe kipa afe beki fc vita 2 simba 1 simba nje .
Huna mana.
 
Bila shaka unatumika na mabeberu. Jokes

Ishi halisi
 
Mechi ya leo haina hata nguvu sana zaidi ya kuongeza option moja ya droo dhidi ya AC Vita.
Mechi ya Mwisho Mnyama anatakiwa apate point 3 baasi
Na ikumbukwe kwasasa karibu kila mmoja ni mbabe kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom