[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani unavaa jezi unahisi umevaa box la sabuni za Mo. Usenge huu
Tatizo letu Msimbazi designer wa jezi hajulikani, Yanga tunajua anadesign Yule Rasta Sheria Ngowi.Ukiangalia jezi za Yanga ipo ki-professional na simple lakini Sisi Simba matangazo yapo mengi hadi mgongoni kwa chini.
Hivi unavaaje jezi kama hii kweli,basi maandishi yangekuwa madogo yaani ni bango tosha, huyu Mo analipa kiasi gani kwa haya matangazo ambayo ni makubwa hadi mgongoni?
Hapa ndo Magungu anapofeli wataruhusuje mabango kwenye jezi kiΓ si hicho? Kwa Azam ni sawa kwasababu ni timu ya mtu , je kwa Simba? Ina maana hamna makubaliano kiasi kwamba Mo hadi kwenye jezi anachora kote? Haya matangazo analipa kiasi gani?
View attachment 2822001View attachment 2822002
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba ni timu ya Mo.. mo ni mmiliki sio shabikiJersey yote ina matangazo ya Mo
1MO EXTRA
2MO EXTRA
3 MO INSUARANCE
4MO SPORTS
5 MO CLEAN
6 MO FOUNDATION
Huyu choli choli analipa kiasi gani?
Ila Mwamedi anapenda sifa sana huyu anaweza kuwa analipa ili aandikwe yeye bilionea
Ujinga Bado ni Mkubwa kwenye Jamii yetu ila ni Safari ndefu siku tutakaa sawa tu.Ukiangalia jezi za Yanga ipo ki-professional na simple lakini Sisi Simba matangazo yapo mengi hadi mgongoni kwa chini.
Hivi unavaaje jezi kama hii kweli,basi maandishi yangekuwa madogo yaani ni bango tosha, huyu Mo analipa kiasi gani kwa haya matangazo ambayo ni makubwa hadi mgongoni?
Hapa ndo Magungu anapofeli wataruhusuje mabango kwenye jezi kiΓ si hicho? Kwa Azam ni sawa kwasababu ni timu ya mtu , je kwa Simba? Ina maana hamna makubaliano kiasi kwamba Mo hadi kwenye jezi anachora kote? Haya matangazo analipa kiasi gani?
View attachment 2822001View attachment 2822002
Sent using Jamii Forums mobile app
Si tulimuuziaKwanza Mo katoa sh ngapi kwenye Mo extra mbona hatuwekwi wazi! Huyu jamaa sasa timu ashaifanya kua ya familia yake.
Designer ni mo mwenyeweTatizo letu Msimbazi designer wa jezi hajulikani, Yanga tunajua anadesign Yule Rasta Sheria Ngowi.
Kwetu hatujui anadesign Mangungu au Matola?
Acha kuwa mpumbavu kijana!! Hiyo jezi ya njano hapo ina matangazo ya kampuni tofauti, sasa simba jezi yote Mo mpk bukta!! Je ni kweli analipa hizo pesa?Ujinga Bado ni Mkubwa kwenye Jamii yetu ila ni Safari ndefu siku tutakaa sawa tu.View attachment 2822664
Kwa akili yako kama Embet analipa bilion3 kukaa kifuani je huyu aliyeweka kila sehem mpka kwenye bukta anayakiwa alipe bei gn ? Ni zaid ya bilion 10 kwa nwaka anatakiwa alipe. Je analipa?Si yanalipiwa..?
Jezi zetu zimekuwa matangazo ya MO, MO Extra, *2ππππ€ͺ Kalpana unauliza nini hapa sasa?View attachment 2822671
MO dawa ya Mbu hivi ipo? π€ͺπJezi zetu zimekuwa matangazo ya MO, MO Extra, *2
Kulikuwa na haja gani ya MO extra kuwepo logo mbili? Kubwa kifuani na ndogo upande wa juu kulia? Moja ingetoshaMO dawa ya Mbu hivi ipo? π€ͺπ
MoMO dawa ya Mbu hivi ipo? π€ͺπ
Ana matangazo 5 kwenye jezi,mbet tangazo moja kifuani analipa bil 3, jamaa mhuni sanaMpka bukta ina tangazo sjui Mo nn hata? Sjui analipa bei gn!!
Kama embet analipa bilion 3 kwa mwaka kutangazwa pale kifuani je huyu aliyeweka mpk kwenye atakua analipa sh ngp? Mo ni tapeli na janja janja nyingi alafu utamsikia anasema anapata hasara!!
Moja ni hamasa nyingine ni msisitizo alafu akamaliza na kuwapapasa nyuma π€ͺKulikuwa na haja gani ya MO extra kuwepo logo mbili? Kubwa kifuani na ndogo upande wa juu kulia? Moja ingetosha
Hio inafanya kazi gan πKuna Mo superwash
Mo