Simba tunafeli kwenye suala la jezi. Kwanini matangazo mengi?

Simba tunafeli kwenye suala la jezi. Kwanini matangazo mengi?

Nadhani hii mada haijadiliwi katika angle inayotakiwa matokeo yake mnarusha tu lawama hata kwa wasiohusika. Wengine wengi mnatoa tu kejeli matokeo yake mada inakosa userious unaotakiwa. Waliobaki wengine wamejaa husda na fitna tu za upande mwingine.

Kwa sababu hiyo, mawazo yangu nitakaa nayo kwa sasa hadi haka kaupepo ka kimhemko kapite kwanza.
 
Ukiangalia jezi za Yanga ipo ki-professional na simple lakini Sisi Simba matangazo yapo mengi hadi mgongoni kwa chini.

Hivi unavaaje jezi kama hii kweli,basi maandishi yangekuwa madogo yaani ni bango tosha, huyu Mo analipa kiasi gani kwa haya matangazo ambayo ni makubwa hadi mgongoni?

Hapa ndo Magungu anapofeli wataruhusuje mabango kwenye jezi kiàsi hicho? Kwa Azam ni sawa kwasababu ni timu ya mtu , je kwa Simba? Ina maana hamna makubaliano kiasi kwamba Mo hadi kwenye jezi anachora kote? Haya matangazo analipa kiasi gani?

View attachment 2822001View attachment 2822002

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo letu Msimbazi designer wa jezi hajulikani, Yanga tunajua anadesign Yule Rasta Sheria Ngowi.

Kwetu hatujui anadesign Mangungu au Matola?
 
Jersey yote ina matangazo ya Mo
1MO EXTRA
2MO EXTRA
3 MO INSUARANCE
4MO SPORTS
5 MO CLEAN
6 MO FOUNDATION

Huyu choli choli analipa kiasi gani?

Ila Mwamedi anapenda sifa sana huyu anaweza kuwa analipa ili aandikwe yeye bilionea
Simba ni timu ya Mo.. mo ni mmiliki sio shabiki
 
Ukiangalia jezi za Yanga ipo ki-professional na simple lakini Sisi Simba matangazo yapo mengi hadi mgongoni kwa chini.

Hivi unavaaje jezi kama hii kweli,basi maandishi yangekuwa madogo yaani ni bango tosha, huyu Mo analipa kiasi gani kwa haya matangazo ambayo ni makubwa hadi mgongoni?

Hapa ndo Magungu anapofeli wataruhusuje mabango kwenye jezi kiàsi hicho? Kwa Azam ni sawa kwasababu ni timu ya mtu , je kwa Simba? Ina maana hamna makubaliano kiasi kwamba Mo hadi kwenye jezi anachora kote? Haya matangazo analipa kiasi gani?

View attachment 2822001View attachment 2822002

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga Bado ni Mkubwa kwenye Jamii yetu ila ni Safari ndefu siku tutakaa sawa tu.
InCollage_20231123_200116699.jpg
 
Kwanza Mo katoa sh ngapi kwenye Mo extra mbona hatuwekwi wazi! Huyu jamaa sasa timu ashaifanya kua ya familia yake.
 
Mpka bukta ina tangazo sjui Mo nn hata? Sjui analipa bei gn!!

Kama embet analipa bilion 3 kwa mwaka kutangazwa pale kifuani je huyu aliyeweka mpk kwenye atakua analipa sh ngp? Mo ni tapeli na janja janja nyingi alafu utamsikia anasema anapata hasara!!
 
Ujinga Bado ni Mkubwa kwenye Jamii yetu ila ni Safari ndefu siku tutakaa sawa tu.View attachment 2822664
Acha kuwa mpumbavu kijana!! Hiyo jezi ya njano hapo ina matangazo ya kampuni tofauti, sasa simba jezi yote Mo mpk bukta!! Je ni kweli analipa hizo pesa?

Mfank Embet ana lipa bilion 15 kama tulivoambiwa kwa miaka 5 kwahy anatoa bilion 3 kila mwaka kukaa pale kifuani.

Sasa Mo maana yake anatakiwa atoe hta bilion 10 sasa maana yupo kifuani mara 2 matakoni na kwenye bukta kila sehem Mo!!

Acha ushabiki fikiria kidogo kama sio ujanja ujanja na utapeli
 
Si yanalipiwa..?
Kwa akili yako kama Embet analipa bilion3 kukaa kifuani je huyu aliyeweka kila sehem mpka kwenye bukta anayakiwa alipe bei gn ? Ni zaid ya bilion 10 kwa nwaka anatakiwa alipe. Je analipa?
 
Mpka bukta ina tangazo sjui Mo nn hata? Sjui analipa bei gn!!

Kama embet analipa bilion 3 kwa mwaka kutangazwa pale kifuani je huyu aliyeweka mpk kwenye atakua analipa sh ngp? Mo ni tapeli na janja janja nyingi alafu utamsikia anasema anapata hasara!!
Ana matangazo 5 kwenye jezi,mbet tangazo moja kifuani analipa bil 3, jamaa mhuni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulikuwa na haja gani ya MO extra kuwepo logo mbili? Kubwa kifuani na ndogo upande wa juu kulia? Moja ingetosha
Moja ni hamasa nyingine ni msisitizo alafu akamaliza na kuwapapasa nyuma 🤪
 
Back
Top Bottom