Simba tunafeli kwenye suala la jezi. Kwanini matangazo mengi?

Acha utoto, kwani kila kitu lazima kifanane na Yanga. Jezi ya Yanga ina maajabu gani? Tulitee wewe jezi zisizokuwa na matangazo tuone kama utaweza. Heshimuni watu wanaoweka fedha kwenye mpira.
 
Mitoto iliyozaliwa uswahilini utaijua tu. Kila kitu inataka kukihusianisha na uchafu uliojaa katika fikra zao.
Tykuone ukiwa umeivaa alafu geuka kwa nyuma tuone mkono wa Bwana unapapasa 🤪
 
Acha utoto, kwani kila kitu lazima kifanane na Yanga. Jezi ya Yanga ina maajabu gani? Tulitee wewe jezi zisizokuwa na matangazo tuone kama utaweza. Heshimuni watu wanaoweka fedha kwenye mpira.
Hayo matangazo anayalipia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan mo halipi..?
Kwa akili yako kama Embet analipa bilion3 kukaa kifuani je huyu aliyeweka kila sehem mpka kwenye bukta anayakiwa alipe bei gn ? Ni zaid ya bilion 10 kwa nwaka anatakiwa alipe. Je analipa?
 
Matangazo hayana shida kama jezi zina ubora.Tukitaka timu ifanye vizuri lazima iwe na pesa na pesa zinatokana na matangazo ya wadhamini.Tujadili ubora wa jezi hayo ya matangazo wala hayana mantiki kwasababu yako kibiashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…