Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Wazee
Wanasimba wenzangu mimi nikiwa mwanachama halali wa simba naumia sana ..
Misimu mitatu au minne nyuma tumekuwa tukileta wachezaji wa hovyo sana. Kisha tukiwatena kwa kuwasingizia kesi mbalimbali.
Angalau basi hata hao wachezaji wawe wamoto sana ila ndiyo vile ndugu mangungu amekuwa ni mtu wa kutupiga na vizito utadhani sisi wanasimba ni mademu zake,
Wenzetu yanga wamebadilika angalia hata usajiri wao hawakosei.
Uzuri wa injinia anapatia sana halafu anakosea kidogo
Wakati kina mangungu wao wanapatia kidooogo na kubugi big time...! Very poor
Tuachane na propaganda za kizamani na tubadili team yetu kwa sasa yanga wametuzidi mbali sana..
Katika usajiri wetu kabla ya msimu kuanza tumeleta magarasa mengi sana na hayachezi.
Yaani yanakula mshahara wa bure na bado uchawi yanapigana misumari kila uchwao..,
Aliyeingia kwenye mfumo ni ngoma na malone tu.
Onana yeye ni homa ya vipindi..!
Mimi naona tu tuvunje team na tuigeuze team ya vicoba vya kinamama na yanga aachwe awakilishe nchi sio kwa ubaya.
Simba nguvu moja.