Simba tunarudia makosa tena yale yale. Tatizo liko hapa

Kweli hata sisi simba ni mbumbumbu kama rage alivyosema.

Unaanzaje kuisema team iliyokubamiza 5g.?
Kwenye mpira hilo ni jambo la kawaida sana ,sema tu Yanga mihemko ndo imewazidi. Kuifunga timu goli 5 haimaanishi kwamba wewe bora Sana kuliko timu nyingine.

Ihefu kumfunga Yanga haimaanishi kwamba Ihefu ni bora kuliko Yanga . Yanga wangekuwa na huo ubora unaotaka kutuaminisha asingekubali kichapo cha 3,0 kutoka kwa Belouzdad.
 
Kumbuka bado hajacheza naye marudiano
Kwahiyo team bora inashinda sikuzote? Kufungwa umesema sio kipimo tena unasema angekuwa bora asingefungwa na waalgeria unachanganya
 
Wazee
Wanasimba wenzangu mimi nikiwa mwanachama halali wa simba naumia sana ..

Misimu mitatu au minne nyuma tumekuwa tukileta wachezaji wa hovyo sana. Kisha tukiwatena kwa kuwasingizia kesi mbalimbali.

Angalau basi hata hao wachezaji wawe wamoto sana ila ndiyo vile ndugu mangungu amekuwa ni mtu wa kutupiga na vizito utadhani sisi wanasimba ni mademu zake,

Wenzetu yanga wamebadilika angalia hata usajiri wao hawakosei.

Uzuri wa injinia anapatia sana halafu anakosea kidogo
Wakati kina mangungu wao wanapatia kidooogo na kubugi big time...! Very poor

Tuachane na propaganda za kizamani na tubadili team yetu kwa sasa yanga wametuzidi mbali sana..

Katika usajiri wetu kabla ya msimu kuanza tumeleta magarasa mengi sana na hayachezi.
Yaani yanakula mshahara wa bure na bado uchawi yanapigana misumari kila uchwao..,

Aliyeingia kwenye mfumo ni ngoma na malone tu.
Onana yeye ni homa ya vipindi..!

Mimi naona tu tuvunje team na tuigeuze team ya vicoba vya kinamama na yanga aachwe awakilishe nchi sio kwa ubaya.

Simba nguvu moja.
Sisi yanga ndo tumekubaliana huu ushauri tuwape simba. Mwananchi mwenzangu watakuwa wamekusikia.
 
Simba tokea 2019 wamesajili wachezaji 59 makocha 9 wachezaji wote waliongia kwenye mfumo ni 16 tu ndio wapo mpaka sasa yaani viongozi wa simba wanaiba hela mpaka wanajisahau wazee wa 10 percent.
Usajili ni kama kamali mkuu. Hata Yanga wamesajili vimeo vingi tu kwenye hiyo miaka
Kindoki
Maybin kalengo
Surpong
Yikpe
Kambole
Bigrimana
Beki la Chan
Balinya
Konkoni
Gift
Moringa
N.k
Hao ni wale wa kimataifa tunaowakumbuka

Makocha
Luc Eymael
Zahera

Mtamkumbuka Barbara sana tu
 
Usajili ni kama kamali mkuu. Hata Yanga wamesajili vimeo vingi tu kwenye hiyo miaka
Kindoki
Maybin kalengo
Surpong
Yikpe
Kambole
Bigrimana
Beki la Chan
Balinya
Konkoni
Gift
Moringa
N.k
Hao ni wale wa kimataifa tunaowakumbuka

Makocha
Luc Eymael
Zahera
N.k
Gift na konkoni kwa kigezo kipi? Hata msimu bado?
Hapo wanatajwa waliofeli kwa ubovu hapa simba na tumeona wote tukubali kukosolewa wanasimba
 
Kumbuka bado hajacheza naye marudiano
Kwahiyo team bora inashinda sikuzote? Kufungwa umesema sio kipimo tena unasema angekuwa bora asingefungwa na waalgeria unachanganya
Niko kwenye hoja ya mtu kusema simba ni mbovu et tu kwasababu alifungwa 5 na Yanga. Na ndiyo Maana nikasema mpira una mambo mengi . Timu inaweza kufungwa hata kutokana na mazingira ya nje ya uwanja .
 
Wazee
Wanasimba wenzangu mimi nikiwa mwanachama halali wa simba naumia sana ..

Misimu mitatu au minne nyuma tumekuwa tukileta wachezaji wa hovyo sana. Kisha tukiwatena kwa kuwasingizia kesi mbalimbali.

Angalau basi hata hao wachezaji wawe wamoto sana ila ndiyo vile ndugu mangungu amekuwa ni mtu wa kutupiga na vizito utadhani sisi wanasimba ni mademu zake,

Wenzetu yanga wamebadilika angalia hata usajiri wao hawakosei.

Uzuri wa injinia anapatia sana halafu anakosea kidogo
Wakati kina mangungu wao wanapatia kidooogo na kubugi big time...! Very poor

Tuachane na propaganda za kizamani na tubadili team yetu kwa sasa yanga wametuzidi mbali sana..

Katika usajiri wetu kabla ya msimu kuanza tumeleta magarasa mengi sana na hayachezi.
Yaani yanakula mshahara wa bure na bado uchawi yanapigana misumari kila uchwao..,

Aliyeingia kwenye mfumo ni ngoma na malone tu.
Onana yeye ni homa ya vipindi..!

Mimi naona tu tuvunje team na tuigeuze team ya vicoba vya kinamama na yanga aachwe awakilishe nchi sio kwa ubaya.

Simba nguvu moja.
Nasikia harufu ya utopolo hapo! Mwananchi utamjua tu!
 
Simba tokea 2019 wamesajili wachezaji 59 makocha 9 wachezaji wote waliongia kwenye mfumo ni 16 tu ndio wapo mpaka sasa yaani viongozi wa simba wanaiba hela mpaka wanajisahau wazee wa 10 percent.
Tena hiyo ni orodha ya kukadiria tu mkuu ukitulia vizuri hata Mia wanafika

Simba tunatia album walimletaga yule.pape nd'aw aibu
 
Sisi Simba tumekubaliana Simba Queens watacheza mashindano yote kuanzia hivi sasa 😂
 
Gift na konkoni kwa kigezo kipi? Hata msimu bado?
Hapo wanatajwa waliofeli kwa ubovu hapa simba na tumeona wote tukubali kukosolewa wanasimba
Mkuu pancho , mpira unachezwa sehemu ya wazi . Huyo konkoni , labda!!! Ngoja nisimalize maneno baadae nikaumbuka.
 
Niko kwenye hoja ya mtu kusema simba ni mbovu et tu kwasababu alifungwa 5 na Yanga. Na ndiyo Maana nikasema mpira una mambo mengi . Timu inaweza kufungwa hata kutokana na mazingira ya nje ya uwanja .
Kwahiyo tumekubaliana
Kufungwa uwanjani80%

Nje ya uwanja 20%
 
Back
Top Bottom