Simba tunarudia makosa tena yale yale. Tatizo liko hapa

Mmeona nilichowaambia?
Mmeona wachezaji wetu huko zanzibar? Yaani utatamani upasue TV kwa hasira

Simba kwa sasa imekufa
 
Kama sisi Yanga tumewazidi mbali Simba mbona juzi FIFA wametoa orodha ya timu bora Simba ipo nafasi ya 7 sisi hatupo?
Sisi Simba ubora wetu uko kwenye makaratasi tu, nasio uhalisia.
 
Mnaropoka sana
 
Tena hiyo ni orodha ya kukadiria tu mkuu ukitulia vizuri hata Mia wanafika

Simba tunatia album walimletaga yule.pape nd'aw aibu
Mangungu anakusanya hela za campaign mwakani achukue fomu ya ubungo
 
Simba wanarudia makosa yale yale.
 
Kuna mashabiki wa Simba walianza kuishabikia Simba kipindi inafanya vizuri zaidi huku mashindano ya ndani nadhani misimu ya kuchukua ubingwa mara 4 mfululizo.

Hawakutegemea ushindani na hawakuwahi kushuhudia mpinzani wetu ( Yanga) ubora wake.

Iko hivi; Kusingekuwa na Yanga hapa Tanzania hata kwa Sasa hizi pressure za mashabiki wenzangu zisingekuwepo.

Tuweni watulivu, TP Mazembe iliwahi kutikisa Afrika hii, lakini ilifika muda ikashuka, hii ndiyo football.

Football wanaoielewa zaidi ni wazungu, wanatoa moyo kwa club zao hata zinapofanya vibaya, wanatoa maoni chanya ya kujenga.

Washabiki wa Simba SC wenzangu, tuweni waungwana, unakuta shabiki anahamasisha wenzake wasiende uwanjani kuishangilia timu, serious???

Hamjui kuwa hata mashabiki pia huchangia kudorola kwa uwezo wa timu?

Penda chako! Nilianza kuipenda Simba SC kipindi Cha Hali ngumu mpka Sasa nafurahia matunda, droo, kupoteza na kushinda vyote ni viambata (package) vya mpira wa miguu, kwamba ukiupenda lazima uvutarajie,

#SimbaNguvuMoja#[emoji881][emoji881][emoji881][emoji1241]
 
Lakini mkifumuliwa huwa unapotea sana chief
 
Kama sisi Yanga tumewazidi mbali Simba mbona juzi FIFA wametoa orodha ya timu bora Simba ipo nafasi ya 7 sisi hatupo?

Wazee wa takwimu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lakini mkifumuliwa huwa unapotea sana chief
We unadhani muda wote Huwa nipo jamiiforums? Kuna maisha halisi nje huku, halafu kingine kwenye maisha epuka kuifuatilia/kuifuata/kuitafuta stress.

Mfano tulipopoteza mchezo dhidi ya Yanga ulitaka nihangaike kubishana humu Ili iweje?

Kufungua threads nyingi haimaanishi kuwa ni shabiki Bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…