Simba tunarudia makosa tena yale yale. Tatizo liko hapa

Swali lilikuwa jepesi umezunguka sana
Kwani sisi wengine unadhani hatuna kazi?
 
Kama sisi Yanga tumewazidi mbali Simba mbona juzi FIFA wametoa orodha ya timu bora Simba ipo nafasi ya 7 sisi hatupo?
Simba mnavuma matunda aliyoyapanda miaka mitano mpaka minne nyuma ila currently mpo ovyo hata leo mkikutana na yanga mnapigwa kirahisi tu.
 
hebu fanya utoe huo mwiko nyuma kwanza mpuuzi mkubwa wewe
 
Sisi Yanga bado tunashangilia ushindi wa bao 5-1 maana tunajua kabisa makolo ni timu kubwa Afrika mashariki na kati hivyo na sisi tumeonekana.

Maana walitufunga 5-0 mwaka 2012 tuliumia sana na pia 6-0 mwaka 1977 tulisononeka. Kabla hatujakutana kwenye ligi mara ya mwisho walitukanda 2-0. Yaani hata goli moja huwa atupati wakitukanda.

Tuna haki ya kuweka mabango mji mzima maana hatujui zamu yetu ya kupigwa ni lini.

Nyuma mwiko
 
🗣️ Vicoba Fc oyeee!!
 
Simba tokea 2019 wamesajili wachezaji 59 makocha 9 wachezaji wote waliongia kwenye mfumo ni 16 tu ndio wapo mpaka sasa yaani viongozi wa simba wanaiba hela mpaka wanajisahau wazee wa 10 percent.
Dah! Kumbe simba ina mashabiki pia ambao siyo mbumbumbu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…