Simba tusione aibu kujifunza kwa Yanga jinsi ya kuvuka quarter-finals kwa ushindi home/away

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
2,507
Reaction score
4,943
Young africans sc 2 - 0 Marumo gallants

Marumo gallants 1 - 2 Young africans

Vinginevyo laana ya Robo fainali haitavunjika.

Tusione aibu kujifunza kwa waliotangulia.Wenzetu ni wazoefu zaidi katika hii michuano.
 
Screenshot_20250402-210328.png

Yenyewe pekee ndio yamepigwa nyingi. Huku watu wanao focus ubingwa wakicheza kwa tahadhari.
 
Young africans sc 2 - 0 Marumo gallants

Marumo gallants 1 - 2 Young africans

Vinginevyo laana ya Robo fainali haitavunjika.

Tusione aibu kujifunza kwa waliotangulia.Wenzetu ni wazoefu zaidi katika hii michuano.
Uto hii iliyokaa miaka 25 bila kuingia group stage CAFCL tangu mwaka 1998

Uto hii iliyoshindwa kuvuka group stage, tena kundi jepesi kabisa kundi rojorojo
 
Mwenzio kaingia kaja mpaka final na medali kachukua wewe miaka yoooote unahangaika unachoma mpaka uchawi uwanjani bado unaishia robo! Hiyo ni LAANA
 
Uto miaka yake alikutana na wajinga wajinga kina Marumo walioshuka daraja ligi yao huko South

Ila angalia watabe waliopo robo season hii, hakuna mjinga mjinga hata mmoja
 
Back
Top Bottom