Simba tusione aibu kujifunza kwa Yanga jinsi ya kuvuka quarter-finals kwa ushindi home/away

Simba tusione aibu kujifunza kwa Yanga jinsi ya kuvuka quarter-finals kwa ushindi home/away

Young africans sc 2 - 0 Marumo gallants

Marumo gallants 1 - 2 Young africans

Vinginevyo laana ya Robo fainali haitavunjika.

Tusione aibu kujifunza kwa waliotangulia.Wenzetu ni wazoefu zaidi katika hii michuano.
Iliyokuwa mkiani kwenye ligi yao na wakashuka daraja
 
Yanga ilikutana na vibonde, hata hawa Waarabu sio wagumu, Simba ikishindwa kuvuka hamna timu hapo
 
Back
Top Bottom