Simba VS Ndanda: Updates

Simba VS Ndanda: Updates

Ndanda wametia aibu sana. TFF ichunguze hii game Jamal Malinzi hii game imeuzwa hadi kipofu anaona mchezo mchafu ulivyofanyika. Chunguzeni hii mechi
 
Mpira wa Bongo ni uwendawazimu. Yaani wachezaji wa Ndanda wanawapasia simba ili wawafunge. Kweli MO kadhamiria kuharibu Mpira
Jana aliyefunga goli kabisa hukumuona?Ndanda walichoka baada ya mchakamchaka wa nguvu. Hakuna hujuma wala nini.Ukiwa mwizi unafikiri kila mtu mwizi. Kila ukigeuka unagusa mfuko.
 
Mpira wa Bongo ni uwendawazimu. Yaani wachezaji wa Ndanda wanawapasia simba ili wawafunge. Kweli MO kadhamiria kuharibu Mpira

Yaani ya leo kali na haija wahi tokea kokote hapa duniani, sijui TAKUKURU wako wapi
 
yaani kipindi cha pili mabeki wa ndanda wanawapasia mafowadi wa simba ili wawafunge kwa staili hii soka letu lina safari ndefu
 
Mliwekewa ngumu na Ndanda ndio maana roho zinawauma. Hao Ndanda hawajawahi hata kutoa droo na Simba tokea wapande ligi kuu. Wameshafungwa goli 12 wamefunga goli 1 tu katika mechi 6 baina ya timu hizi. Sasa wavimba macho roho zinawauma kwa sababu wao walibaniwa na kutoka droo 0-0.
 
Jana aliyefunga goli kabisa hukumuona?Ndanda walichoka baada ya mchakamchaka wa nguvu. Hakuna hujuma wala nini.Ukiwa mwizi unafikiri kila mtu mwizi. Kila ukigeuka unagusa mfuko.

Simba wamenunua ile game kwa kushirikiana na yule Muuza Maji. Na deal zima limechezwa half time. TFF wachunguze. Kuweni mabingwa kwa kucheza mpira uwanjani na si kununua mechi.

Inafikia kipindi simba wanapoteana then wachezaji wa ndanda wanawapasia simba ili ionekane wanatawala game na kuforce mashambulizi fake.
 
Sindano imeanza kuingia?Bando la masaa 24 limekwisha. Bado mtalia sana.
Tulie sana kwa lipi? Kwa wanunuaji mechi ? Ilichokifanya simba leo ni unproffessional kwenye football. Na mpenzi yoyote wa mpira wa Tanzania inabidi akemee ununuaji wa mechi kwa nguvu zote.
 
Tulie sana kwa lipi? Kwa wanunuaji mechi ? Ilichokifanya simba leo ni unproffessional kwenye football. Na mpenzi yoyote wa mpira wa Tanzania inabidi akemee ununuaji wa mechi kwa nguvu zote.
Povu tu hilo. Timu yenye rekodi ya marefa kufungiwa baada ya kuchezesha mechi zenu kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi inajulikana. Ndanda keshatunguliwa. Kateni rufaa.
 
Kagera imemfukuza Casillas Shariff kafungiwa na kufukuzwa baada ya kuuza mechi yenu mlioshinda 6-2.Beki Kyaruzi amefukuzwa pia kuhusu mechi hiyo hiyo.Kesi ipo Takukuru.
Mnaponunua mnafikiri kila mtu ananunua.
 
Povu tu hilo. Timu yenye rekodi ya marefa kufungiwa baada ya kuchezesha mechi zenu kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi inajulikana. Ndanda keshatunguliwa. Kateni rufaa.
Tukate rufaa ya nini wakati ubingwa tunauchukulia kwenu. Jitahidini muhonge kote ila nina uhakika Azam na Yanga ndio kabuli lenu.
 
Kagera imemfukuza Casillas Shariff kafungiwa na kufukuzwa baada ya kuuza mechi yenu mlioshinda 6-2.Beki Kyaruzi amefukuzwa pia kuhusu mechi hiyo hiyo.Kesi ipo Takukuru.
Mnaponunua mnafikiri kila mtu ananunua.
Hiyo mechi afadhali umenikumbusha. Inatakiwa iwe the best match of all time. Golikipa wa kwanza alipigwa Tatu mkamtoa kwa tuhuma za kuhongwa. Mkaingiza chaguo lenu asiyependa wala kuchukua rushwa na yeye Akala zake Tatu.

Aliyetuita wa kimataifa hakukosea. Leo hii structure ya Timu yetu inaakisi hivyo. Sio wahongaji na wachawi. Timu halieleweki. Hamshindi hadi Mhaini akanunue mechi
 
Azam alifungwa.Refa na goli la mkono likawaokoa. Refa na kibendera wenu wamefungiwa miaka 2.Mechi yenu hata tucheze 8 hamshindi. Mlitawaliwa na wachezaji 9.
 
Hiyo mechi afadhali umenikumbusha. Inatakiwa iwe the best match of all time. Golikipa wa kwanza alipigwa Tatu mkamtoa kwa tuhuma za kuhongwa. Mkaingiza chaguo lenu asiyependa wala kuchukua rushwa na yeye Akala zake Tatu.

Aliyetuita wa kimataifa hakukosea. Leo hii structure ya Timu yetu inaakisi hivyo. Sio wahongaji na wachawi. Timu halieleweki. Hamshindi hadi Mhaini akanunue mechi
Beki Kyaruzi pia alitolewa?
 
Pongezi za dhati kwa watani zangu Simba FC wekundu wa msimbazi.
-Ongezeni juhudi zaidi sababu ligi ngumu na ushindani ni mkubwa.
 
Back
Top Bottom