Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Ndanda wametia aibu sana. TFF ichunguze hii game Jamal Malinzi hii game imeuzwa hadi kipofu anaona mchezo mchafu ulivyofanyika. Chunguzeni hii mechi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana aliyefunga goli kabisa hukumuona?Ndanda walichoka baada ya mchakamchaka wa nguvu. Hakuna hujuma wala nini.Ukiwa mwizi unafikiri kila mtu mwizi. Kila ukigeuka unagusa mfuko.Mpira wa Bongo ni uwendawazimu. Yaani wachezaji wa Ndanda wanawapasia simba ili wawafunge. Kweli MO kadhamiria kuharibu Mpira
Mpira wa Bongo ni uwendawazimu. Yaani wachezaji wa Ndanda wanawapasia simba ili wawafunge. Kweli MO kadhamiria kuharibu Mpira
Mkuu mbona povu sana. Mliwapa msaada nini?Maji yakazidi unga. Aliwe mwingine wewe ukate kiuno. Ajabu.Ndanda wametia aibu sana. TFF ichunguze hii game Jamal Malinzi hii game imeuzwa hadi kipofu anaona mchezo mchafu ulivyofanyika. Chunguzeni hii mechi
Jana aliyefunga goli kabisa hukumuona?Ndanda walichoka baada ya mchakamchaka wa nguvu. Hakuna hujuma wala nini.Ukiwa mwizi unafikiri kila mtu mwizi. Kila ukigeuka unagusa mfuko.
Mkuu mbona povu sana. Mliwapa msaada nini?Maji yakazidi unga. Aliwe mwingine wewe ukate kiuno. Ajabu.
Sindano imeanza kuingia?Bando la masaa 24 limekwisha. Bado mtalia sana.Kwenye hujuma lazima tuseme. TFF ichunguze hii game. Simba leo mmetia aibu
Tulie sana kwa lipi? Kwa wanunuaji mechi ? Ilichokifanya simba leo ni unproffessional kwenye football. Na mpenzi yoyote wa mpira wa Tanzania inabidi akemee ununuaji wa mechi kwa nguvu zote.Sindano imeanza kuingia?Bando la masaa 24 limekwisha. Bado mtalia sana.
Povu tu hilo. Timu yenye rekodi ya marefa kufungiwa baada ya kuchezesha mechi zenu kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi inajulikana. Ndanda keshatunguliwa. Kateni rufaa.Tulie sana kwa lipi? Kwa wanunuaji mechi ? Ilichokifanya simba leo ni unproffessional kwenye football. Na mpenzi yoyote wa mpira wa Tanzania inabidi akemee ununuaji wa mechi kwa nguvu zote.
Tukate rufaa ya nini wakati ubingwa tunauchukulia kwenu. Jitahidini muhonge kote ila nina uhakika Azam na Yanga ndio kabuli lenu.Povu tu hilo. Timu yenye rekodi ya marefa kufungiwa baada ya kuchezesha mechi zenu kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi inajulikana. Ndanda keshatunguliwa. Kateni rufaa.
Hiyo mechi afadhali umenikumbusha. Inatakiwa iwe the best match of all time. Golikipa wa kwanza alipigwa Tatu mkamtoa kwa tuhuma za kuhongwa. Mkaingiza chaguo lenu asiyependa wala kuchukua rushwa na yeye Akala zake Tatu.Kagera imemfukuza Casillas Shariff kafungiwa na kufukuzwa baada ya kuuza mechi yenu mlioshinda 6-2.Beki Kyaruzi amefukuzwa pia kuhusu mechi hiyo hiyo.Kesi ipo Takukuru.
Mnaponunua mnafikiri kila mtu ananunua.
PovuTukate rufaa ya nini wakati ubingwa tunauchukulia kwenu. Jitahidini muhonge kote ila nina uhakika Azam na Yanga ndio kabuli lenu.
Beki Kyaruzi pia alitolewa?Hiyo mechi afadhali umenikumbusha. Inatakiwa iwe the best match of all time. Golikipa wa kwanza alipigwa Tatu mkamtoa kwa tuhuma za kuhongwa. Mkaingiza chaguo lenu asiyependa wala kuchukua rushwa na yeye Akala zake Tatu.
Aliyetuita wa kimataifa hakukosea. Leo hii structure ya Timu yetu inaakisi hivyo. Sio wahongaji na wachawi. Timu halieleweki. Hamshindi hadi Mhaini akanunue mechi