Simba vs Toto Africa

Simba vs Toto Africa

wamatopeni kama kawaida pigaaaaaaaa haooooo pigaaaaaaaaa
 
Hayooo yamekaa wiki mbili bila kucheza sasa yamepoteza momentum
 
Hakyamungu hii timu itatuua kwa presha dah..!hata sielewi leo ndo wamecheza ujinga gani japokuwa Toto yenyewe ni dhaifu..!
Yote kwa yote,mwamuzi nae amechangia kwa namna moja ama nyingine kutuangusha
 
Mi naogopa kuingia mazima kuipenda timu fulani. Ilinitesa sana wakati mdogo.
Siku hizi nashabikia mdogo mdogo. Toto hoyeeeeeee
Piga wekundu wa msimbazi haooooo
Hapana penda mazima coz kuumia kwa ajili ya timu yako kuna raha yake.kama mimi man u inanitesa ila naipenda tu pamoja na mapito haya.
 
Masikini wa matopeni, poleni sana mliokuwa watani wa jadi wa Yanga.
Kasi yenu ya kupotea ni kubwa sana hadi mnatuogopesha.
Wapinzani wa kweli wa Yanga kwa sasa ni Azam tu...simba wamebakia kia tu..wanarudi polini walipotoka[emoji12]
 
Haina jinsi simba uongozi uvunjwe! Kwa TFF hii yenye 90% yanga,haina haja ya kucheza mpira kwa redcards zaajabu namana hii.
 
Ila aibu kufungwa na katimu kadogo kama toto, tena goli moja. Yaaani goli moja wameshindwa kurudisha dakka zote 94!! Ningekuwa mpenzi wa simba Leo Leo ningehama.
 
Mi naogopa kuingia mazima kuipenda timu fulani. Ilinitesa sana wakati mdogo.
Siku hizi nashabikia mdogo mdogo. Toto hoyeeeeeee
Piga wekundu wa msimbazi haooooo
Ushaonesha wewe ni mpenzi wa yeboyebo hahahaah.!!
 
Back
Top Bottom