KICHINJIO 15
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 823
- 629
Kwa nini usiwe jangwani?Kawaida. Ila ubingwa upo msimbazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini usiwe jangwani?Kawaida. Ila ubingwa upo msimbazi
Pole ndugu yangu maana washika bunduki wanakufanya uugulie maumivu sasa mnyama tena yaleyale.1 - 0
Alaah!atakuwa wa mboka manyema huyo.We utakuwa wa Tabora.
Sioti. Huo ndio ukweliDuh, aiseeeeee.
Pengine hapo ulipo utakua umelala so unaota tu labda!!
Otherwise wahi milembe hospital!
Mi naogopa kuingia mazima kuipenda timu fulani. Ilinitesa sana wakati mdogo.Pole ndugu yangu maana washika bunduki wanakufanya uugulie maumivu sasa mnyama tena yaleyale.
Ndio wanapenda mlenda.Kwa nini mkuu?
Hapana penda mazima coz kuumia kwa ajili ya timu yako kuna raha yake.kama mimi man u inanitesa ila naipenda tu pamoja na mapito haya.Mi naogopa kuingia mazima kuipenda timu fulani. Ilinitesa sana wakati mdogo.
Siku hizi nashabikia mdogo mdogo. Toto hoyeeeeeee
Piga wekundu wa msimbazi haooooo
Wapinzani wa kweli wa Yanga kwa sasa ni Azam tu...simba wamebakia kia tu..wanarudi polini walipotoka[emoji12]Masikini wa matopeni, poleni sana mliokuwa watani wa jadi wa Yanga.
Kasi yenu ya kupotea ni kubwa sana hadi mnatuogopesha.
Hapana penda mazima coz kuumia kwa ajili ya timu yako kuna raha yake.kama mimi man u inanitesa ila naipenda tu pamoja na mapito haya.
Walidhani kwa kugomea michezo wanaikomoa TFF kumbe anajitundika mwenyewe.Hayooo yamekaa wiki mbili bila kucheza sasa yamepoteza momentum
Natokea Njombe. Napenda sana mlenda na maziwa (mtindi)Ndio wanapenda mlenda.
Ushaonesha wewe ni mpenzi wa yeboyebo hahahaah.!!Mi naogopa kuingia mazima kuipenda timu fulani. Ilinitesa sana wakati mdogo.
Siku hizi nashabikia mdogo mdogo. Toto hoyeeeeeee
Piga wekundu wa msimbazi haooooo
Hahahaah ndugu maumivu tu hata hamu ya kuiona mechi ya arsenal sina.Pole ndugu yangu maana washika bunduki wanakufanya uugulie maumivu sasa mnyama tena yaleyale.