KICHINJIO 15
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 823
- 629
Najiendea mdogo mdogo mkuuUshaonesha wewe ni mpenzi wa yeboyebo hahahaah.!!
Kuna ubaya nikiipenda yeboyebo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najiendea mdogo mdogo mkuuUshaonesha wewe ni mpenzi wa yeboyebo hahahaah.!!
Dakika ya 41 arsenal 0 - 0 crystal palaceHahahaah ndugu maumivu tu hata hamu ya kuiona mechi ya arsenal sina.
Dada upo?? Nakumis sana, hujaonekana muda mrefu huku.Simba a.k.a nyau. Katika ubora wenu... Hata Toto hahahahaaa!!!
Pole katavi. Ipo siku mtashinda tu.Hahahaah ndugu maumivu tu hata hamu ya kuiona mechi ya arsenal sina.
Hakuna ubaya wowoteNajiendea mdogo mdogo mkuu
Kuna ubaya nikiipenda yeboyebo?
Dk 95:30 inamaana dk mia kasoro 3Ila aibu kufungwa na katimu kadogo kama toto, tena goli moja. Yaaani goli moja wameshindwa kurudisha dakka zote 94!! Ningekuwa mpenzi wa simba Leo Leo ningehama.
Nasikia tunaongoza sasa.Dakika ya 41 arsenal 0 - 0 crystal palace
Kutoka kwenye vilindi vya moyo wangu, rangi nyekundu siipendi na sijui kwa nini.Hakuna ubaya wowote
Kumbe. SafiNatokea Njombe. Napenda sana mlenda na maziwa (mtindi)
Hata Tenga,Ndolanga wote walikuwa Yanga na mlikuwa angalau mnaleta upinzaniHaina jinsi simba uongozi uvunjwe! Kwa TFF hii yenye 90% yanga,haina haja ya kucheza mpira kwa redcards zaajabu namana hii.
Upo?Simba bhana
Simba kwisha habari yao halafu bado wanawaza ubingwaDuh, aiseeeeee.
Pengine hapo ulipo utakua umelala so unaota tu labda!!
Otherwise wahi milembe hospital!
Nipo mkuuUpo?
Dalili za ubingwa bado zipo?Nipo mkuu
Hilo lipo wazi ubingwa msimbaziDalili za ubingwa bado zipo?
Nauliza tu
Kwa walio ona mpira sidhani kama ile ni kadi nyekundu kwani hakukuwa na madhambi yoyote aliyoyacheza kessyDakika ya 47: beki wa Simba, Hassan Kessy anapewa kadi nyekundu kwa kumchezea faulo, Edward Christopha wa Titit, analalamika lakini wenzake wanamtoa nje.Kipindi cha pili kimeanza
Ngoja tuone. Game na Azam lini?Hilo lipo wazi ubingwa msimbazi
Mganga wao wa kienyeji aliwashauri wapumzike kupisha viporo vya Yanga na Azam. Watakuwa wamekosea masharti. Teh tehHayooo yamekaa wiki mbili bila kucheza sasa yamepoteza momentum