Simba vs Toto Africa

Simba vs Toto Africa

Ila aibu kufungwa na katimu kadogo kama toto, tena goli moja. Yaaani goli moja wameshindwa kurudisha dakka zote 94!! Ningekuwa mpenzi wa simba Leo Leo ningehama.
Dk 95:30 inamaana dk mia kasoro 3
 
Haina jinsi simba uongozi uvunjwe! Kwa TFF hii yenye 90% yanga,haina haja ya kucheza mpira kwa redcards zaajabu namana hii.
Hata Tenga,Ndolanga wote walikuwa Yanga na mlikuwa angalau mnaleta upinzani
 
Dewj anaitaka hii Simba,auziwe tu maana li-timu linyewe limekuwa bovu kupitiliza...wanasajili wachezaji ya nje wa nje wanaorukaruka tu.Kiongera wa nini pale...sijui mwenyekiti wa Simba ni nani maana leo ingebidi ajiuzulu au ni weww Katavi
 
Dakika ya 47: beki wa Simba, Hassan Kessy anapewa kadi nyekundu kwa kumchezea faulo, Edward Christopha wa Titit, analalamika lakini wenzake wanamtoa nje.Kipindi cha pili kimeanza
Kwa walio ona mpira sidhani kama ile ni kadi nyekundu kwani hakukuwa na madhambi yoyote aliyoyacheza kessy
 
Back
Top Bottom