Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Refa akiona hawafungi baada ya kumtoa Mukoko eidha atawapa penalty au mpira ukisogea na yupo gari na goli anawafungia kabisa! Nani anamkumbuka Mike Dean alivyoshangilia goli la ya Totenham?
 
Mkuu, for once weka ushabiki pembeni. Game upande wa ipendeleo imeelemea kwa yanga licha ya kadi nyekundu
Vipi umeiona alichokifanya Onyango.........sasa jiulize kina tofauti gani na Mukoko........
 
Acha ushabiki usio na tija, faulo alizochezewa boko na mukoko ambazo alistahili kuwajibishwa kabla ya red card unakumbuka ni ngapi?

Mbona hukujitokeza kusema refa anaibeba yanga?
Refa ni wenu huyo.
Ila kamwe hamtufungi ng'o.
Game inafika kwenye matuta hii, hapo ndio mtajua kuwa nyinyi ni Mbeleko fc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…