Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

Huyo refa katika michezo yote ya Simba aliyo chezasha Simba aliibuka mshindi, so sishangai kwa nini Yanga tulimkataa.
Huyo Refa ni chokostiki, Keyvant ya bimkubwa wake.
Acha ushabiki usio na tija, faulo alizochezewa boko na mukoko ambazo alistahili kuwajibishwa kabla ya red card unakumbuka ni ngapi?

Mbona hukujitokeza kusema refa anaibeba yanga?
 
Naona leo baada watu kuficha sufuria mabiriani hayapikiki, ndio mmeamua kuja na style ya kuwatoa watu mchezoni ili wapate nyekundu. Halafu mara ya pili Bocco anamchezea rafu Mukoko, mechi ya kwanza anatakiwa ale straight red card ila fresh, still bado tunapambana.
 
Yanga siwaoni hapa au ndo wanasubiri hadi washinde ndo waje kupiga kelele.
Jiaminini na timu lenu vyura nyie.
Tulia wewe mbumbumbu! Yanga hatuna mambo ya taarab kama nyinyi mkiongozwa na yule mlemavu wenu mnayemlipa laki 7 kwa mwezi!
 
Huyo refa katika michezo yote ya Simba aliyo chezasha Simba aliibuka mshindi, so sishangai kwa nini Yanga tulimkataa.
Huyo Refa ni chokostiki, Keyvant ya bimkubwa wake.
Mkuu, for once weka ushabiki pembeni. Game upande wa ipendeleo imeelemea kwa yanga licha ya kadi nyekundu
 
Huyo refa katika michezo yote ya Simba aliyo chezasha Simba aliibuka mshindi, so sishangai kwa nini Yanga tulimkataa.
Huyo Refa ni chokostiki, Keyvant ya bimkubwa wake.
Wewe ni utopolo haswaa huoni kawabeba tukio la mwamnyeto ilikuwa penat
 
Huyo refa katika michezo yote ya Simba aliyo chezasha Simba aliibuka mshindi, so sishangai kwa nini Yanga tulimkataa.
Huyo Refa ni chokostiki, Keyvant ya bimkubwa wake.
Kwamba ile faulo ya Mkoko ilikuwa ni fair challenge au?
 
Huyu refa hajawahi kutuangusha wanasimba lazima tushinde baada ya red card ya kupika atatoa penati
 
Back
Top Bottom