Simba vs Yanga Okt 16, 2010

Simba vs Yanga Okt 16, 2010

Anaingia Boni wa Yanga anatoka, na Okwi wa Simba ameumia anatibiwa nje
 
Mohamed Kijuso ameingia badala ya Ochani , Godfrey Boni anaingia badala ya Chuji
 
Gooooooooooooooooooooooooooooooooo Simba 0 yanga 1
 
sina imani na rangi ya signature yako nikifananisha na ulichokiandika


haaa haaa

usikonde ila ndugu yangu leo mnyama tumemuangusha makeke akayapeleke msimbazi

uwanja uwe CCM na ss wana CCM tugaragazwe na kufirigiswa pale

kamwe haiwezekani
 
Kihemba anatoka anaingia Aziz wa Simba. Faulo Kaseja katoka kafanya faulo ilikua goli la 2 na sasa inapigwa
 
furaha yangu leo hata sijui nisemeje

mwaka huu mnyama anaramba mchanga mara zote
 
hii mechi kwa kweli simba kama watapoteza itabidi wajilaumu wenyewe tu ila kiukweli simba waliwashika sana yanga na first half wamepoteza nafasi nyingi mno

huyu mtu wa pwani ni mwongo, mwongo mwongo kama viongozi wa CCM
 
Joseph owino kakosa akiwa ndani ya sita kipa akiwa kasha potea maboya...
 
Back
Top Bottom