Simba waamua kutembeza bakuli kuchangia faini ya CAF

Mkiwa wachangiaji wazuri mwakani mtapigwa faini million 800 ili akili zikae sawa
 
Kumbe hujawahi hudhuria vikao vya shule.....
Wanakuwepo machawa ....from no where utasikia " wazazi kama tulivyokubalian mchango utakuwa 50k

So unajikuta u can't resist [emoji23]
Haisumbui kabisa, buku buku wakichangia watu laki moja tu tunapata na chenji. Kwani hukumbuki lile shindano la Nani Zaidi la Azam Media la uchangiaji wa mashabiki tulivyowakimbiza utopolo hadi wakajitoa na kusema Azam Media wana nia ya kuwadhalilisha? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huu ndo ubaya ubwela wenyewe...hatushindwi na wowote...
Yanii ni tumetaka wenyewe nishachangia elfu 15 yangu chapuu..
We are Simbas Fans and we love our team...
hii kama imewauma pia kunyweni juice ya arovera..
Hela ya kiwanja Bunju mlichanga mil 60 kwa miezi zaidi ya sita,mtaweza kweli hili? Anyway ngoja niwachangie elf kumi watani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…