Simba waamua kutembeza bakuli kuchangia faini ya CAF

Vijana wa Rage hamasishaneni kwaumoja wenu mlipe hio pesa c mliona raha kufanya umbumbumbu
 
Mashabiki ndio wameuambia uongozi kwamba wanataka wawajibike kwa niaba ya wenzao wachache waliofanya ushamba
Ila ingekuwa Yanga usingekubali kauli hiyo toka kwa mashabiki ungesema tu hela ya magodoro imekata
 
Ila ingekuwa Yanga usingekubali kauli hiyo toka kwa mashabiki ungesema tu hela ya magodoro imekata
Ningekuwa fair. Kama ningekuwa nimemsikia shabiki wa Yanga amesema mapema kabla ya uongozi, nisingesema hivyo hivyo kama ilivyo
 
Mashabiki waliomba wenyewe wachangie kama kuwajibika kwa uharibifu,ni jambo la kuigwa tofauti na nye kila baada ya mechi Zahera anatembeza bakuli
 
Huu ndo ubaya ubwela wenyewe...hatushindwi na wowote...
Yanii ni tumetaka wenyewe nishachangia elfu 15 yangu chapuu..
We are Simbas Fans and we love our team...
hii kama imewauma pia kunyweni juice ya arovera..
Mweeee!
 
Simba tumezoea kupambania Timu yetu sio wanywa supu...Binafsi nimechangia 30000 tayari..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£ kumbe walikua wanatamani mno zile pesa walizokua wanadondoshewa wachezaji wa Yanga uwanjani.

Ubaya ukabwela
Sasa zile unaita pesa ndugu yangu? Pesa ikidondoka inatoa milio?
 
Nashauri tuzidishe makusanyo zaidi ya deni tuweke akiba ya dharura ili siku nyingine akija mpuuzi mwingine tunamkalisha halafu tunatuma pesa CAF au TFF kabla hata ya hukumu, mamaeee πŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…