Nime mnukuu Luke.Umepunic bro
Dah!! Rage 😀😀😀🙌🙌Nime mnukuu Luke.
Sijapanic na siwezi kupanic kwasababu zozote.
Hata kwa Mpumbavu siwezi kupanic
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"Dah!! Rage 😀😀😀🙌🙌
Dah!! Rage 😀😀😀🙌🙌"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
Wakati wa mawingu hua unapata tabu"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
Luc ana akili sana. Abarikiwe"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
Waambie singida wafanye 'rotation' ya kikosiAmani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Baada ya wananchi yanga kutinga hatua ya fainal za CRDB tiar viongozi wa Simba wameanza mbinu za kukimbia game
Na mbinu yao ya kwanza kabisa itaanza kwenye game yao na singida
Yenu macho
LONDON BOY
Hutaki kuambiwa ukweliWewe mimi nishaga kwambia utalipwa hapa hapa dunian
Simba ana shughuli muhimu na Berkane, acheni kuighasi..Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Baada ya wananchi yanga kutinga hatua ya fainal za CRDB tiar viongozi wa Simba wameanza mbinu za kukimbia game
Na mbinu yao ya kwanza kabisa itaanza kwenye game yao na singida
Yenu macho
LONDON BOY
Kwa sababu Singida ni tawi lenu, wapangeni kabisa viongozi na wachezaji wao, wafanye juu chini hata ikiwezekana kujifunga wenyewe, ili mradi Simba waende fainali, mkawapige tano, au sio!? Fuateni huu ushauri.Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Baada ya wananchi yanga kutinga hatua ya fainal za CRDB tiar viongozi wa Simba wameanza mbinu za kukimbia game
Na mbinu yao ya kwanza kabisa itaanza kwenye game yao na singida
Yenu macho
LONDON BOY
Na hawambulii hata kombe moja.Ika safari hii simba mtacheza fainali nyingi sana. Mechi na SBS ni fainali! Mechi na Rs Berkane ni fainali! Bado kuna mechi dhidi ya Yanga!
Aisee kazi mnayo.