This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
wewe kweli zuzu.Jamaa mjanja Sana, kasha wakimbia tayari. Yaani uwanja wa watu 30, 000/= unao karibia thamani ya 40 bilion unachangia 2 bilion kweli?
Wewe ni utopolo tunakujua vizuri.Eti nachangia billion 2!
Na mm kwa kutambua mchango wa kuwa na uwanja wetu binafsi kama timu kubwa barani Afrika, naanza kuchangia Milioni Moja
Daudi unateseka ukiwa wapi?haya sasa hiyo billion 2 ataihesabia kwenye hasara anazosema huwa anapata 😀
Mkuu kwa muda mchache niliokuwepo hapa jukwaani, niseme wazi wewe ni KILAZA na uonapo komenti yangu usiiquote. Huna logic, umejaza mafua kichwani.Bakhresa si Mo na Mo hatakuwa Bakhresa.
Lkn Bakhresa timu ni yake binafsi. Simba Si ya Mo.Na Mo Ni mfadhili na mwekezaji pale Simba.So ametoa km shabiki mwingine yyte.
Pia HELA ni zake huwezi kumpangia Cha kutoa. Angeweza hata asitoe chochote na hakuna ambaye angemlazimisha.
Kama kampuni ni ya MO kwa 49% kwanini hao wengine wenye 51% wasichangie na badala yake unataka MO peke yake achangie?Wakuu tukiacha siasa za maji taka za Usimba na Uyanga. Nataka nichangie huu mjadala kwa namna tofauti, kwa namna ambayo nitaiweka kidogo kisomi na hapa naomba tuache ushabiki.
1. Simba ni kampuni ambayo iko na 2 shareholders, MO and Members on the other hand. Kwa mtiririko huohuo shareholders wako na share 49% na 51% respectively.
Kama ndio hivyo basi SIMBA SC ni Mali ya MO na WANACHAMA kwa upande mwingine. Hata hivyo kama SIMBA ni kampuni na hao ni wabia wake, haitakiwi mbia achangie kiasi fulani katika ujenzi wa ASSETS za Klabu kwa sababu shabiki akichangia ina maana unamwongezea MTAJI MMILIKI.
2. Ilitakiwa ifanyike analysis nzima juu ya gharama za ujenzi kisha gharama zile zigawanywe kwa uzito sawa na SHARES yaani kama ujenzi ni BIL 20 basi MO atapaswa kutoa Bil 9.8 na WANACHAMA Bil 10.2. Yes ni kampuni hivyo Mo hapaswi kusema watu wachangie wakati yeye ni mwanahisa na anapata INCOME through hiyo kampuni. Kwanini aombe michango wakati kampuni ni yake kwa 49%?.
3. Watanzania wenzangu, kabla ya kurukia kitu lazima mkae chini na mtafakari kwa kina juu ya masuala haya. MO anawakosea sana Simba, na always yy hujifanya kama anasaidia lkn ukweli ni kwamba yeye ni Mwanahisa kwanini atake mashabiki wamchangie? Kama ndio hivyo basi ajitoe kuwa mmoja wa wamiliki ili watu wachangie wakijua yeyote anaweza kuwa kiongozi wa SIMBA.
4. Rai yangu kwa wapenda michezo, haki na wapenzi wa hii klabu kupaza sauti na kugundua UTAPELI wa wazi anaofanya huyu MO DEWJI.
KWA UCHACHE NAWASILISHA.
NB. Kama uelewa wako kuhusu umiliki wa makampuni ni FINYU usiquote huu mchango.
Nikiwa site tunapima kiwanja 😂Daudi unateseka ukiwa wapi?
lete logic.Mkuu kwa muda mchache niliokuwepo hapa jukwaani, niseme wazi wewe ni KILAZA na uonapo komenti yangu usiiquote. Huna logic, umejaza mafua kichwani.
Ndio maana nimesema kabla ya yeye kutoa hizo bil 2, ilipaswa kufanyika analysis juu ya gharama ili kila upande utoe pesa kwa % stahiki.Kama kampuni ni ya MO kwa 49% kwanini hao wengine wenye 51% wasichangie na badala yake unataka MO peke yake achangie?
Wabongo upande wa kuchangia...... wagumu Simba mwaka jana walikuja na idea nzuri sana wanachama wa Simba wawe na electronic card kila card ada yake kwa mwaka ilikuwa 14000.Mpaka sasa nina uhakika kadi zilizo chukuliwa hazikuzidi,timu hizi mara nyingi, zinaendeshwa na matajiri ili waendelee kupiga hela.Nimepokea maoni mengi ya WanaSimba wenzangu wakishauri tujenge uwanja wetu na wako tayari kuchangia ili tufanikishe ujenzi huo. Naomba kuweka wazi kwamba nimepokea maoni hayo kwa mikono miwili.
Naomba Bodi ya Simba kukaa na kuja na utaratibu wa haraka ili jambo hili lianze utekelezaji. Kwa kuanza naahidi kuchangia Tsh. 2 bilioni. Nawaomba wanasimba tuchangie sote.
View attachment 2042471
Chomoa kamq imeumanaVibaraka wote wa wahindi huwa wanakuwa ni mazezeta na wala huwa sipati nao shida kabisa
Nina Elimu ya namba iliyonifunza kuwa mwenye 49% amezidiwa na mwenye 51%UNA ELIMU GANI WEWE??
Nyie mko wanachama 30k mnamiliki 51% na yeye yuko peke yake anamiliki 49% huoni tatizo kabisa??
Aisee
wewe ni nini Cha maana unachopost humu?Mkuu kwa muda mchache niliokuwepo hapa jukwaani, niseme wazi wewe ni KILAZA na uonapo komenti yangu usiiquote. Huna logic, umejaza mafua kichwani.
Wewe ni kilaza, pitia hoja zako zote kila uelimishwapo kuhusu SIMBA unajaza mafua kichwani. SIKIA MO NI MMILIKI HALALI WA SIMBA KWA 49% na WANACHAMA WANAMILIKI 51% Kwahiyo KAMA ILIVYO AZAM AMBAPO BAKHRESA ANAMILIKI KWA 100% NA SIMBA INAMILIKIWA KWA 49% NA MO. HIVYO NI JUKUMU LAKE KUJUA GHARAMA ZA UWANJA NA KISHA AKAE YEYE NA WANACHAMA WAGAWANE KULINGANA NA UBIA WAO AMBAO NI 51% KWA 49%.lete logic.
Azam Ni mali binafsi ya Bakhresa ndiyo maana anagharamia kila kitu.
Simba ni timu ya wanachama. Mo ni mwekezaji na ameshaweka dau lake kilingana na mkataba wake.
Au weka huo mkataba wa uwekezaji ili tuone terms zake km Mo anatakiwa kujenga uwanja.
Ukishindwa utakuwa umejaza kamasi kichwani.
Ongea ukweli wako unaoujua kuhusu Mo na Simba, Bakhresa na Azam.Halafu uonyeshe sasa ukilaza wangu.
Nik tayari kuelimisha na kufahamishwa. Elimu ni bahari, tunajifunza kila siku.
Karibu!
Mkuu kwani MO sio MWANACHAMA WA SIMBA??Nina Elimu ya namba iliyonifunza kuwa mwenye 49% amezidiwa na mwenye 51%
Bakhresa Ni mmilikiBAKHRESA hakuhitaji michango na alifanya kimyakimya.
nilipoona tu watu 30,000/= nikajua hilo topolo beberuJamaa mjanja Sana, kasha wakimbia tayari. Yaani uwanja wa watu 30, 000/= unao karibia thamani ya 40 bilion unachangia 2 bilion kweli?